PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani kazi ya chama Cha siasa ni kupambana na jeshi la polis?
 
Inasikitisha Sana...

Polisi waonywe waache kuonea vyama vya upinzani.
Kiukweli kwa safari hii mama ana wakati magumu Sana, kuingiza polis kwenye mambo ya kisiasa sio...polis wawaache wanasiasa...
 
Siku zote vurugu zinaanzishwa na jeshi la polis kwa vyama vya siasa...
 
Nimeumizwa mno na kitendo hichi cha kukamatwa mwenyekiti wa chadema,hakika jeshi la polisi linatumika vibaya...Watanzania tuache uoga na tuweke njaa pembeni tukafanye maamzi sahihi uchaguzi mkuu.Mimi siyo shabiki wa vyama vya siasa ila #CCM siyo sehemu sahihi
 
CCM wakizidiwa kwa hoja hukimbilia bunduki na mabomu ya polisi, hiki chama kiko mahututi kinapumulia mabavu ya vyombo vya dola tu.
 
Piga kabisa hao magaidi.
Hakuna kuwachekea, binya korodani hadi washike adabu.
 

Jama Msma ABDUL ameanza haya hata kabla ya Kampeni, ataweza kweli kuvumulia muda ukifika?
 
maccm yalivyo kuwa majinga yanataka kumpa kesi ya uhaini(treason) bila kujua kwamba hiyo itapelekea wao kutolewa macho na jumuiya za kimataifa na uonevu/maovu wanayofanya kujulikana kiasi cha kuliweka taifa kwenye wakati mgumu hasa ukizingatia tunaelekea kipindi cha uchaguzi.
 
Kumbe kwahili tuko pamoja Brother
Byesige huwe hamnielewi.... My concern with Lisu is that:
1. He used uncivilized approach during his campaign!
2. Forgetting the interest of the party after effects
3. Tellling lies etc etc etc
sasa chama kimegawanyika an tulitahadhalisha kuhusu hilo maana kwa umri wetu wengine , uzoefu wetu...hamtapona. ngoja uchaguzi upite, Lisu atapotea maana Chadema itakuwa haina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ