Ni kipi kinachofichwa huko NGORO-NGORO !!!??
 
Kwahiyo na yale matusi ulifanya sarcism kamanda? Utafiti tayari umefanyika ndiyo maana Serikali ikafanya uamuzi wa hivyo. Population ya Masai Tz na Kenya ni tofauti,alafu Kenya wanaweza kua na njia tofauti nasio lazma tufanye kama wao.
 
Hatimaye wahafidhina wa CCM wamefanikiwa kumuweka mama Abdul mtu kati. Zile sifa alizojijengea kwenye jumuia ya kimataifa zinaanza kufutwa mdogo mdogo hadi 2025 itakuwa kwisha kabisa habari yake.
 
Wewe ni mpumbavu! Kama hujui historia ya ngorongoro toka enzi za mwinyi baba basi huna moral authority ya kusema lolote. Tambua kwamba kila rais akija mzanzibari anataka kuwapa waarabu ngorongoro kwanini?
Mpumbavu ni yule asie na hekima na staha katika mijadala. Hii tabia inatufanya CHADEMA kuonekana
 
Dah! Haya mambo huwa yananichanganya kabisa!
 
Sasa kwa nini anaenda huko ngorongoro kuwachochea wanyama pori wawe wanaeazomea watalii? Hajui anazikimbiza dolar.
 
Jeshi letu hakika halina hekima ya kazi. Hivi inakuwaje unamkamata mtu ambaye anajitafutia riziki?? Hivi sisi CCM hatuwezi kupita huko kuondoa sumu??? Hivi tangu lini polisi watumike kisiasa???? Hakika Dkt Samia anayokazi kwa utendaji huu wa polisi. Na inawezekana polisi wanamhujumu Mama kwa makusudi kabisa kuharibu rekodi yake nzuri ya haki za binaadamu. Lisu mwenyewe huyo ikitokea kafa kwa sababu ya magonjwq si atakujilikana kauawa. Yaani leo polisi wametukera sana sisi wana CCM. Na kibaya zaidi Dkt Samia alishatoa onyo kuwa siasa za wazi ruksa na uhuru wa kujieleza usibinywe.
 
Nina Mahindi milipuko karibu yangu tayari kwa replay ya Taifa na Algeria, kwani nimeshasomeshwa waraka...na nishaambiwa pilau lipo jikoni, as a matter of fact, linanukia hivyo najua ni Uhakika.

Sina uhakika na Serikali yangu.
 
Nimekusikia Muhifadhi uchwara.

Ongezeko la watu ni Ngoro ngoro pekee?

Use common sense.

Just incase... Unataka kuzungumzia uhufadhi njoo ukiwa umekamilika... Yellowstone conservation doesn't work with NCAs.
 
Kinachonishangaza ni watanzania kuwa wasahaulifu,kila siku nilikuwa nacheka tu watu wanasema Mama kabadilisha nchi na matarumbeta kabisa, yaani system nzima ni ile ile halafu watu walitegemea mabadiliko? Nadhani ile kauli ya mm na mwendazake ni kitu kimoja kimeanza kuonekana,maana amevumilia akaona duuh hii demo -kratos sasa napandwa kichwani,soon tutaona mengi tu
 
Kumbe Hadi wamasai wa huko wapumbavu??

Nilidhani walimu tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Kuna baadhi ya mambo huwa mnaongea kwa pupa pupa ila kuyasolve sio rahisi lazima damu zimwagike


Sasa kujitoa muhanga kufa na kupona sio rahisi yahitaji moyo mno
 
Sasa kama kweli, police wanatupanda kichwani, sababu za kukamatwa ni zipi, kama vipi kiwake nchi nzima
Alikamatwa Mbowe nchi haikuwaka. Sembuse huyu muathirika wa traumatic brain injury (TBI)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…