Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAMIA: Total failureKuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
- Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
- Walinzi wote wa Tundu Lissu
- Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
- Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
- Suzan Kiwanga na
- Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
====
Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.
Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.
Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.
Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel
Maridhiano yalikwama?Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.

Gharama hakuna....Kama hii ni kweli bc hii itawagharimu sana hao wanaofanya hiyo kazi, wananchi sasa wameamua kusimama na chadema
CC: Erythrocyte
Ingia barabarani uandamane...Hatufiki popote kwa hili, kiwake nchi nzima hii haikubaliki,haikubaliki, haikubaliki
Kiwashe basi...Hii nchi bila kukiwasha hakutotokea mageuzi .
a maelekezo..wakuu wa jeshi wanahofia nafasi zao maana zinateuliwa na mwanasiasa....wapaohisi wanaweza kumfurahisha mteuzi wanafanya chochote kitu ila ukiachana na njaa ya ubongo na madaraka hao ni watu na wanainchi walipigwa na kupigika kabisaInawezekana tetesi zikawa sahihi.. Geshi letu la polisi.. wana endeshwa na hisia na kuacha maadili ya kazi pembeni
Tundu Lissu mtu mweusi...Kwenye nchi za watu weusi inataka moyo wa chuma kutetea raia wake ambao kimsingi hata hawaelewi haki zao na faida ya mwanaharakati kama tundu lissu, freeman Aikaeli, John pambalu, twaha mwaipaya na wengine wengi.. Itafika wakati mapinduzi yafanywe na wachache tu tukitegemea watanzania waandamane kudai haki hapo hatutaweza
Kifuatacho ni Chama kuandaa mbinu kabambe za kukabiliana na ccm pasipo nguvu ya umma maana umma wenyewe hawana meno ndio maana serikali inajitafunia nchi inavyotaka.. Tundu lissu inabidi ajuwe kuwa hao anaowatetea ndohaohao wakishapewa ardhi ya ngorongoro watamshukuru Samia Kwa kuwaacha waendelee kuishi ndani ya hifadhi kuliko lissu aliepambana kuwatetea
Ngoja tusubiri kifuatacho kwa taarifa rasmi!Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
- Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
- Walinzi wote wa Tundu Lissu
- Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
- Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
- Suzan Kiwanga na
- Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
====
Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.
Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.
Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.
Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel
Kwani kwenda ngorongoro ni kuvunja sheria za nchi? Au za mwarabu?Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
Magufuli ndiye alikuwa anamuwezea TL.RIP Magufuli
Magufuli ndiye alikuwa anamuwezea TL.RIP Magufuli
Kuna Mzee Jana alikua anasaga kunguni kwenye kipindi cha The Big Ajenda StarTv nenda kakiangalie kipindi cha Jana YouTube utaelewa JamboNilitaka kushangaa wanamuachaje
Yuko wapi sasahivi?Magufuli ndiye alikuwa anamuwezea TL.
Subili tupate tamko la chama muone kwamba watu wamechoka,mnaleta biashara ya siku zote
Kamanda ata kuandika ujui kabisa!!Ukiachilia Mbali na UKAMANDA "UCHADEMA" Ambao nina 100% huwezi kuwa nayo kingine ambacho huna na unekosa ni Utu na nahisi wewe sio binadamu ila ni roboti WAMASAI WAPO ngorongoro kabla ya babu yako kuwepo duniani na imekuwa hivyo hata Kwa upande wa wenzetu wakenya Sasa jiulize kwanini kenya wasiwafukuze katika Hifadi hizo ila Twanzania tuwafukuze