Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Chifu Hangaya anawayawaya! Siku zake zahesabika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa kikioza na mkia unaoza. Tukikate kichwa nchi itapona.Kama ni kweli, basi hakutakuwa na jipya. Tutakuwa tunaendelea kushuhudia uhayawani wa watawala.
Hayo huwa yanatokea wakati waovu na wavunjaji wa sheria na katiba wanapopewa kazi ya kusimamia utiifu wa sheria na katiba.
Vipi tukupatie Bunduki ukampige mwenzetu?Kwa Nini wasimtandike lisasi tena? Maana lengo lake ni kuleta taharaki nchini akijua yeye ana pa kukimbilia.
Activists and politicians serve different roles in society.Wewe kweli alfu lela ulela? Yaani ulichokiandika hapa ndiyo unaita siasa?
Aliyewaharibu ni huyo aliyewafundisheni habari za siasa na uana harakati.
Sababu yeye mwenyewe uwezo wake uligotea mahala.
Hakuna siasa isiyo na harakati. Msipende kukariri vitu kama vile mmekatazwa kutumia akili zenu. Jambo lolote lile, iwe dini, siasa, Taaluma au kingine chochote kile ili kuweza kukieneza kinahitaji harakati.
Nimefuatilia hotuba za Tundu Lissu huko karatu. Hajatukana hata tusi moja.Matusi hayahusiani na ngozi ngumu,hujiulizi mbona Mbowe na Mnyika na wengine Huwa hawakamatwi isipokuwa huyu mtukutu? Apewe adabu zake.
Bado Slaa na Maandamano yake
Huku wewe ukiendelea kukaa kwa shemejioAlikimbia awamu ya Jiwe sasa atakaa huko ndani Hadi 2028
Karibu mkuu siasa sio uadui japo ccm mmekuwa hivoHapo sawa. Siku nikija hapo kwenu manyovu nitakukamata nikurudishe kwenu
Hakuna aliebora kunako sheriazetu tii sheria bilashurutKuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
- Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
- Walinzi wote wa Tundu Lissu
- Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
- Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
- Suzan Kiwanga na
- Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
====
Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.
Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.
Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.
Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel
Sasa cha ajabu una miaka 18 mpaka ufike hamsini ni miaka 32 ijayoNaamini kuwa , na ninajua kuwa kabla sijafikisha miaka 50 tutakuwa tushaongozwa na jeshi ., kwangu itakuwa furaha na hakika nitaingia kwenye system kama kiongozi mkubwa .
Nimeandika leo tarehe 10/09/2023 naomba nikumbushwe siku ikifika .
Weekend hii nipo nakunywa supu baada ya purukushani za usiku , sasa wewe nichukulie serious nikung'oe meno
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Watu kama wewe ndiyo mnaendelea kutuchafua CHADEMA...angalia mfano kauli zako...hizi kauli makamanda tuachane nazo kwa bahati mbaya tunazifanya mpaka majukwaani kuonyesha jinsi tulivyokosa malezi. Ngorongoro kuna sehemu ni hifadhi na sehemu zisizo hifadhi. Kata ambazo nje ya hifadhi tumeruhusiwa kwenda mbonaKumbe kwenda ngorongoro kufanya siasa ni jinai? Sasa huyo mbunge wao alifanyia siasa kwenye matako ya baba ako au. Stupid you idiot
Kutoka nchi ya kuigwa kwa uhuru wa kufanya siasa...[emoji736]
Hadi kuwa namba 1 kwa kamatakamata ya wapinzani..[emoji3574]
Ndugu yangu wewe ni mjinga.UHURU UWE NA MIPAKA .
UKIPEWA UHURU KUWA NA ADABU/NIZAMU.
UHURU WA KUJIELEZA ISIWE SABABU YA KUFANYA UCHOCHEZI/CHONGANISHI.
Ukiachilia Mbali na UKAMANDA "UCHADEMA" Ambao nina 100% huwezi kuwa nayo kingine ambacho huna na unekosa ni Utu na nahisi wewe sio binadamu ila ni roboti WAMASAI WAPO ngorongoro kabla ya babu yako kuwepo duniani na imekuwa hivyo hata Kwa upande wa wenzetu wakenya Sasa jiulize kwanini kenya wasiwafukuze katika Hifadi hizo ila Twanzania tuwafukuzeWatu kama wewe ndiyo mnaendelea kutuchafua CHADEMA...angalia mfano kauli zako...hizi kauli makamanda tuachane nazo kwa bahati mbaya tunazifanya mpaka majukwaani kuonyesha jinsi tulivyokosa malezi. Ngorongoro kuna sehemu ni hifadhi na sehemu zisizo hifadhi. Kata ambazo nje ya hifadhi tumeruhusiwa kwenda mbona
Chukua point 3 mkuuKwenye nchi za watu weusi inataka moyo wa chuma kutetea raia wake ambao kimsingi hata hawaelewi haki zao na faida ya mwanaharakati kama tundu lissu, freeman Aikaeli, John pambalu, twaha mwaipaya na wengine wengi.. Itafika wakati mapinduzi yafanywe na wachache tu tukitegemea watanzania waandamane kudai haki hapo hatutaweza
Kifuatacho ni Chama kuandaa mbinu kabambe za kukabiliana na ccm pasipo nguvu ya umma maana umma wenyewe hawana meno ndio maana serikali inajitafunia nchi inavyotaka.. Tundu lissu inabidi ajuwe kuwa hao anaowatetea ndohaohao wakishapewa ardhi ya ngorongoro watamshukuru Samia Kwa kuwaacha waendelee kuishi ndani ya hifadhi kuliko lissu aliepambana kuwatetea