Magufuli alipomtandika Risasi huyo Chiba watu mlipiga kelele sana kuwa alimuonea,mnaona sasa shida yake? Magufuli alikuwa sahihi
 
CCM Kwa upande mwingine hii ni kama blessings in disguise Kwa kuwa inazima au kupoza mjadala wa bandari huku mambo mengine YAKIENDELEA...
 
Very right. Wanapo hisi kuwa haiba Yao mbere ya jamii imeporomoka viongozi wa kiafrika asilimi kubwa wana tabia na huruka zinazo fanana.
 
Nimekuliza swali rahisi hujibu..
Population inaongezeka NCA peke yake? Encroachment ya makazi ipo NCA pekee? Au mbuga zote ? Ukinijibu nitaendelea.. uache kupambania vitu vilivyo nje ya uwezo wako.
Swali lako umeishajibua vizuri tu. Population inaongezeka pote ila sasa sio at the same rate. Ata mijini inaongezeka ndiyo maana huduma zinaongezwa kama bara bara ,maji nk NCA population kuongezeka ni hatari sana kuliko DSM nk. Ndiyo maana watu hao wanapewa sehemu nyingine ili kuweka kulinda hifadhi yetu. Mwisho,nani mwenye mamlaka ya kupanga matumizi ya Ardhi nchini? Tukiacha encroachment inauofanywa na wamasai sio faida kwa Taifa
 
Hapa ndiyo mara zato unaweza kuwashangaa wasomi wetu. Hivi hapo wanapoishi wamasai nchini Kenya kuna hifadhi gani? Je,unajua kua Wamasai wa Tanzania wanayo mifugo mingi kuliko hao wa Kenya?
Tukisema ongezeko la population nadhani inabidi tusifungie kwenye watu tu....nenda zaidi mpaka kwenye livestock. Kuna wakati wamasia wa Kenya ukosa malisho na kuleta mifugo yao nchini Tz jambo ambalo ni hatari pia. Namaliza kwa kusema hivi serikali hipo sahihi sana maana hakuna ata Masai anae onewa. Wanasafirishwa,wanakwenda na mifugo yao,hati ya Ardhi na nyumba.
 
Serikali ipo sahihi kabisa katika Hilo,chadema wanataka kujitafutia umaarufu wa kisiasa kupitia sakata la ngorongoro baada ya kufeli katika ishu ya DP World na bandari
 
Kuna muda mnatetea ujinga na upumbavu hata bila kujishtukia, umeulizwa population inaongezeka Ngorongoro na Loliondo pekee!?, Kwanini hizi kelele ziliibuka kipindi Cha Mwinyi na waarabu na kipindi hiki Cha Samia na waarabu!?,pupolation ya maasai inaongezeka Tanzania tu!?,mbona Kenya hakuna huu upuuzi?,wakati mwingine ni busara kuficha upumbavu wako kuliko kutetea mambo yaliyo nje ya uwezo wako wa kufikiri.
 
Serikali ipo sahihi kabisa katika Hilo,chadema wanataka kujitafutia umaarufu wa kisiasa kupitia sakata la ngorongoro baada ya kufeli katika ishu ya DP World na bandari
Umaarufu wa kisiasa sijakuelewa maana Chadema Chama cha Zamani sana Vyama vilivyoanza navyo leo hii havipo tena na nafikiri Ina miaka zaidi ya 30 na imedumu kama chama kikuu cha upinzani kwa mima zaidi ya 20
 

Umeshawahi kufika ngorongoro ukajionea mwingiliano wa Maisha ya wamasai na wanyama wa mbugani?

Huko sehemu zingine walipo maasai wanaishi mbugani?hujiulizi kwanin serikali isiende kuwaondoa wahadzabe wakawaondoe wamasai?
 
As population keep on growing mazingira ya mbugani ambalo wamasai wanaishi na mifugo Yao watagharim future ya mbuga zetu na wanyama,labda kama hujafika maeneo hayo basi huwezi jua uhalisia uliopo
Siku hizi New members wengi mnajiunga JamiiForums kimkakati baada ya kugundua ni moja ya Media iliyosheheni habari na taarifa za uhakika ,lengo kubwa likiwa kuharibu mijadala ya msingi .
 
Umaarufu wa kisiasa sijakuelewa maana Chadema Chama cha Zamani sana Vyama vilivyoanza navyo leo hii havipo tena na nafikiri Ina miaka zaidi ya 30 na imedumu kama chama kikuu cha upinzani kwa mima zaidi ya 20

Siasa bila hoja ya kutembea nayo maana yake umeshindwa kuwa mbadala wa alie madarakani,sasa lazima utafute hoja ya kuzungumza ili wananchi wajue kuwa upo active, ndicho wanachofanya chadema,ila ukweli wanaujua vizur kuwa CCM wako sahihi katika Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…