Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako umeishajibua vizuri tu. Population inaongezeka pote ila sasa sio at the same rate. Ata mijini inaongezeka ndiyo maana huduma zinaongezwa kama bara bara ,maji nk NCA population kuongezeka ni hatari sana kuliko DSM nk. Ndiyo maana watu hao wanapewa sehemu nyingine ili kuweka kulinda hifadhi yetu. Mwisho,nani mwenye mamlaka ya kupanga matumizi ya Ardhi nchini? Tukiacha encroachment inauofanywa na wamasai sio faida kwa TaifaNimekuliza swali rahisi hujibu..
Population inaongezeka NCA peke yake? Encroachment ya makazi ipo NCA pekee? Au mbuga zote ? Ukinijibu nitaendelea.. uache kupambania vitu vilivyo nje ya uwezo wako.
Hapa ndiyo mara zato unaweza kuwashangaa wasomi wetu. Hivi hapo wanapoishi wamasai nchini Kenya kuna hifadhi gani? Je,unajua kua Wamasai wa Tanzania wanayo mifugo mingi kuliko hao wa Kenya?Aisee nahisi Lowasa alikuwa Sahihi tunahitaji ELIMU SANA...
cha kwanza sijakutukana Cha kabisa...
Cha pili kama uliweza kuleta Evidence inaonyesha hiyo Tafiti,I will be gratifull sana Maana me nakupa Facts Tu...
Kusema kwamba Population ya Masai ilin kenya na Tanzania ni Tofauti nakubaliana na wewe kabisa ila kwa mlengo upi.? Sikiliza ...
Kenya kuna eneo Dogo sana wanalokaa wamasai Tofauti ma Tanzania ambao eneo ni kubwa cha ajabu ni kwamba Pamoja ya kuwa na eneo Dogo Masai wa kenya Wako Half a milion yaani zaidi ya laki tano huku Tanzania ikiwa na wamasai kwa Takwimu waliotaja Juzi walisema zaid ya Laki mbili ikiwa ni Pungufu kwa kenya kwa Watu laki Tatu....
Ramani Ifuatayo inaonyesha Mgawanyiko wa Eneo la wamasai kwa Tanzania na Kenya
View attachment 2744973
Kama utaangalia Ramanin utagundua Sehemu kubwa ya eneo La wamasai lipo Tanzania Japo kuna idadi ndogo sana ya Masai na Kenya kuna eneo dogo ila kuna idadi kubwa sana ya masai...
Sasa ikiwa kenya eneo ni hilo Na wanaishi wamasai zaidi ya laki tano (500,000s) huku tanzania. Eneo likiwa ni kubwa na walikuwa wanaishi wamasai only 200,000..
Unafikiri Rais wa Kenya Hakuona kuna haja ya enviromental RESERVATION ...
I THINK KAMA KUNA MTU ALIYUROGA BASI NAONA SASA NI ULE MUDA AFANYE ZINGUO MAANA TUNATESEKA SANA MAANA HATA UKWELI KWETU HATUUONI....NI KAMA TUMEFUMBWA MACHO
Some sources
- NBS statistics
- https://maasai-association.org/maasai.html
Kuna muda mnatetea ujinga na upumbavu hata bila kujishtukia, umeulizwa population inaongezeka Ngorongoro na Loliondo pekee!?, Kwanini hizi kelele ziliibuka kipindi Cha Mwinyi na waarabu na kipindi hiki Cha Samia na waarabu!?,pupolation ya maasai inaongezeka Tanzania tu!?,mbona Kenya hakuna huu upuuzi?,wakati mwingine ni busara kuficha upumbavu wako kuliko kutetea mambo yaliyo nje ya uwezo wako wa kufikiri.Swali lako umeishajibua vizuri tu. Population inaongezeka pote ila sasa sio at the same rate. Ata mijini inaongezeka ndiyo maana huduma zinaongezwa kama bara bara ,maji nk NCA population kuongezeka ni hatari sana kuliko DSM nk. Ndiyo maana watu hao wanapewa sehemu nyingine ili kuweka kulinda hifadhi yetu. Mwisho,nani mwenye mamlaka ya kupanga matumizi ya Ardhi nchini? Tukiacha encroachment inauofanywa na wamasai sio faida kwa Taifa
Umaarufu wa kisiasa sijakuelewa maana Chadema Chama cha Zamani sana Vyama vilivyoanza navyo leo hii havipo tena na nafikiri Ina miaka zaidi ya 30 na imedumu kama chama kikuu cha upinzani kwa mima zaidi ya 20Serikali ipo sahihi kabisa katika Hilo,chadema wanataka kujitafutia umaarufu wa kisiasa kupitia sakata la ngorongoro baada ya kufeli katika ishu ya DP World na bandari
Kuna muda mnatetea ujinga na upumbavu hata bila kujishtukia, umeulizwa population inaongezeka Ngorongoro na Loliondo pekee!?, Kwanini hizi kelele ziliibuka kipindi Cha Mwinyi na waarabu na kipindi hiki Cha Samia na waarabu!?,pupolation ya maasai inaongezeka Tanzania tu!?,mbona Kenya hakuna huu upuuzi?,wakati mwingine ni busara kuficha upumbavu wako kuliko kutetea mambo yaliyo nje ya uwezo wako wa kufikiri.
Siku hizi New members wengi mnajiunga JamiiForums kimkakati baada ya kugundua ni moja ya Media iliyosheheni habari na taarifa za uhakika ,lengo kubwa likiwa kuharibu mijadala ya msingi .As population keep on growing mazingira ya mbugani ambalo wamasai wanaishi na mifugo Yao watagharim future ya mbuga zetu na wanyama,labda kama hujafika maeneo hayo basi huwezi jua uhalisia uliopo
Umaarufu wa kisiasa sijakuelewa maana Chadema Chama cha Zamani sana Vyama vilivyoanza navyo leo hii havipo tena na nafikiri Ina miaka zaidi ya 30 na imedumu kama chama kikuu cha upinzani kwa mima zaidi ya 20
Siku hizi New members wengi mnajiunga JamiiForums kimkakati baada ya kugundua ni moja ya Media iliyosheheni habari na taarifa za uhakika .
Hayo Maisha unayotaka akaishi nayo si-yanaendeshwa na siasa?
Mbowe amekaa kitaalamu sana ndo maana namkubali, tuanzie kwenye asali mpaka hv sasaMbowe mjanja sana, nina imani yeye hakutia pua yake kwenye mkutano usiokuwa na vibali.
Uhuru upi huo? Ule wa kidhaalim, wameuwa Waislamu/waarabu! Huo ndio uhuru wa haki! Ingelikua kipindi cha ottoman huyo babu yenu wangemkata kichwa pamoja na okello na washirika waoNyerere Angekuwa na mawazo kama yako tungepata uhuru?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app