Umeamdika ukiwa na umri miaka mingapi
 
"... MNAAMRIWA NA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MTAWANYIKE HARAKA NA KWA AMANI LA SIVYO TUTATUMIA NGUVU".
 
Polisi ni "kifaa" tu kinachotumiwa na mtu anayekitumia.

Kuna umuhimu wa kulitambua hili. Matumaini yangu ni kwamba CHADEMA wanaelewa vizuri maana ya hili, ili waweke mikakati ya kupambana na mtu anayekitumia kifaa hiki isivyostahili.
Polisi walikuwa wanafanya mchezo wa kuzubaisha watu wasahau ya bandarini, wakadhani wakikaa na wakina Lissu ndio akili zetu zitahamia kule, hii move ya kumkamata Lissu kwangu niliiona maigizo matupu toka mwanzo, Mbowe kuwaambia aachiwe bila masharti chap wakafanya hivyo.

Polisi wetu wamegeuka kuwa kama kundi la waigizaji tu.
 
Ndugu mbona unaandika mipasho tu.Hakuna ambaye asomi machapisho ya kitaalam.Mfano umeulizwa kua hapo Kenya wanapo kaa wamasai hadhi ya Ngorongoro?
Lakini pia ukaulizwa kua ni madhala gani nchi itapata kwa kuwaondoa wamasai ambao ni hatari za hifadhi hiyo?
Kuna jambo inabidi ulijue ,hata ujenzi wa JNHPP wanamazingira mlipinga na CHADEMA hivyo hivyo lakini mkashindwa kujua tunahitaji umeme pia. To get merits you shouldn't be scare of demerits.
 
Nimemshangaa kiongozi wangu MH.Lissu kua amefanya hivyo ili wazungu waone....Hii ni hatari sana,kwamba tunafanya mambo kuwafuraisha wazungu.
 
Maelezo yote nimeyajibu huenda hujasoma vizuri na Kizuri zaidi nimefurahi kuona hata aliyekuwa Waziri wa Maliasi na utalii kwa muda mrefu zaidi bwana mdogo Hon.kigwangala na yeye hatetei uovu huu kwa sababu anaujua Chanzo chake na chokochoko zake ameeleza vizuri kabisa sakati zima kuanzia linavyoanza mpaka sasa...

Ila nyinyi machawa sasa ndo mnatetea ila jibu kashawapa...
Anasema swala la Ngorongoro Na LOLIONDO ni mambo Magumu sana na Yanahitaji Akili kubwa...




Baadae akatoa ufafanuzi kwanini kasema lisu hatakuweza swala hili na akasema kuwa swala hili sio la kichama ni La kitaifa kipindi akjibu mtu aliyeuliza kwani Tundu lisuu kafanya kosa Kufanya Mkutano huko



Na Akaendelea kujibu hoja mbali mbali za wananchi... Hasa kupinga kutetea uonevu unaofnywa kusema neno Sijatetea uonevu means TAYARI KUNA UONEVU UPO NA ANAUFAHAMU ....WANASHERIA NADHANI MNANIELEWA




Mwisho alisema Kuna waziri na Mbunge wa Ngorongoro enzi hizo Nasha Alitaka kujiuzuru Nafasi yake ya Uwaziri na ubunge endapo uonevu utaendele Ngorongoro


Cha mwisho akawazungumzia "AKINA NYINYI" MNAOENDA NA NOTE YA Wakubw wenu kuongelea jambo ambalo hamna ujuzi nalo


Kigwangala peke yake anakutosha YANINI LISUU
 
Hakika chuki uliyonayo ni beyond human lust
 
Sasa ndugu sijui kama unakijua Kiswahili vizuri kwakweli.Ebu rudia kusoma post za Kigwañgala alafu usome ninacho kuandikia then usome wewe unayo yaandika. Tunakata kuilinda hifadhi yetu dhidi ya human encroachment .Wamasai tayari wameisha wekewa utaratibu wa makazi mapya na ardhi....Pia wamasai ambao wanaipenda Tanzania Malaigwan wote wameisha kubari kwenda Handeni
 
Hawajakubali wanalazimika kufanya hivyo Jaribu kupitia Hansard za mbunge wa Ngorongoro Marehemu Nasha utagundua kwamba wamekuw wakikatiwa huduma za msingi ili wahame ilo liko wazi
 
Hamna Serikali yoyote ambayo inaweza kuruhusu kundi au mtu flani asitii sheria za nchi.Ata tungekua sisi CHADEMA ndiyo tupo Ikulu tusingeweza kuruhusu mambo ya hivyo ya hivyo.
Kwani wewe upo CHADEMA!!?
Kwani CHADEMA siku hizi imekuwa na mashoga!!?
 
Hawajakubali wanalazimika kufanya hivyo Jaribu kupitia Hansard za mbunge wa Ngorongoro Marehemu Nasha utagundua kwamba wamekuw wakikatiwa huduma za msingi ili wahame il
Mbona wapo wengine tayari Handeni na wanaishi vizuri tu.Wanashule,umeme,maji,hospitality,miliki ya Ardhi na nyumba za kisiasa.Vipi hapo Ngongoro wamekaa miaka yote,wamewaikupa hizo huduma.Sema labda wanataka wabembelezwe basi...sioni haja ya hao wachache kuendelea kungangania hapo.
Lakini pia kuna hofu ya Wamasai eti kuacha utamaduni na asili yao kama kwenda shule,kuoana na makabila tofauti au kuzika.Maana wamasai awaziki maiti so sababu za mila zisifanye zoezi ili lisiendelee
 
Kwani wewe upo CHADEMA!!?
Kwani CHADEMA siku hizi imekuwa na mashoga!!?
Waulize kama wanamashoga,ingawa mimi najua hamna kitu cha hivyo.
SEMA JF kwasasa limekua kokolo kwakweli....mtu kama wewe ukustahili kuaishi nasi watu wenye kujenga hoja na wenye heshima zetu.
 
Nahisi nahitaj nahitaji kurest case kama huu ndo mtizamo wako
 
Nahisi nahitaj nahitaji kurest case kama huu ndo mtizamo wako
Sometimes you need to the ground,dig deep etc wamasai waliobaki wanasema wanachomewa maboma lakini awasemi kwanini wanakataa kwenda Handeni. KARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…