kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakamatwe na washughulikiwe kisawasawa wasituharibie amani yetu washinzi hawa wengine hawakawii kukimbilia ubalozi kikiwaka na kusindikizwa hadi airport kwenda ughaibuni. Siwapendi watu kama hawa.Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
- Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
- Walinzi wote wa Tundu Lissu
- Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
- Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
- Suzan Kiwanga na
- Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
====
Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.
Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.
Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.
Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel
===
Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu wameamuru kufungwa kwa ofisi ya Chadema wilaya ya Karatu na kuwakamata watu wengine wakiwemo viongozi wa Chadema wa wilaya hiyo.
1. Joseph Mtui
2. John Malle
3. Fabiola Niima
4. Daniel Mnyampanda
5. Eliya Kibola, Katibu wa Chadema wilaya ya Karatu
6. Valerian Qurama
7. Samwel Welwel, Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Karatu
Hana dini Wala nini Kila siku kushikwa shikwa mikono tu na wanaumeHuyu maza ni gaidi haswa ila lilikuwa ni suala la muda tu kuonyesha sura yake halisi, amejificha kwenye dini
AshughulikiweNilitaka kushangaa wanamuachaje
Hatari snHana dini Wala nini Kila siku kushikwa shikwa mikono tu na wanaume
Ninavyo vyote soft copy. Unavitaka?Duh
Kikosi cha Kisasi
Njama
Kikomo
Hujuma
Hivi Vitabu viliandikwa na mzee Musiba na sterling alikuwa Willy Gamba 😂😂🔥
Wanaofanya siasa ndio hawa wanaopora uchaguzi kila siku? Vyama karibia vyote vina sera mbadala wa hizo za CCM, tatizo wakati wa uchaguzi wanaoamua nani atangazwe mshindi ni hao hao Makada wa CCM. Kwa kukusaidia tu, CCM haiko madarakani hadi leo kwa ubora wa sera, bali ni kwa sababu za kihistoria na katiba ya mfumo wa chama kimoja inayokibeba.Hao badala ya kufanya siasa wamegeuka kua wanaharakati wakudandia matukio na kuchonganisha serikali na raia, sisi upinzani hatujui siasa,....tumeshindwa kujenga grassroot ofisi za chama na kufungua matawi kwa kuuza philosophy za chama tunatafuta umaharufu kupitia matukio mbali mbali.
Kuna haja ya kupata chama cha siasa ambacho kinaweza kujenga sera mbadala ya chama tawala sio kupunga kila jambo bila kuonyesha mbadala wake, Lissu amakua mwanaharakati sio mwana siasa tena bora angefungua NGO ya kutetea hakati zake, kama ni mazingira au haki za binaadamu ili ajulikane iko wapi.
5. Eliya Kibola, Katibu wa Chadema wilaya ya Karatu
Kimantiki ninakubaliana na wewe.Kwenye nchi za watu weusi inataka moyo wa chuma kutetea raia wake ambao kimsingi hata hawaelewi haki zao na faida ya mwanaharakati kama tundu lissu, freeman Aikaeli, John pambalu, twaha mwaipaya na wengine wengi.. Itafika wakati mapinduzi yafanywe na wachache tu tukitegemea watanzania waandamane kudai haki hapo hatutaweza
Kifuatacho ni Chama kuandaa mbinu kabambe za kukabiliana na ccm pasipo nguvu ya umma maana umma wenyewe hawana meno ndio maana serikali inajitafunia nchi inavyotaka.. Tundu lissu inabidi ajuwe kuwa hao anaowatetea ndohaohao wakishapewa ardhi ya ngorongoro watamshukuru Samia Kwa kuwaacha waendelee kuishi ndani ya hifadhi kuliko lissu aliepambana kuwatetea
Hiyo ndiyo faida yake, anashindwa kuachana na siasa akaishi na familia yake,
Mnatamba hamuogopi , mkiguswa kidogo mnataka dunia ielewe- kumbe mnaogopaKuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
- Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
- Walinzi wote wa Tundu Lissu
- Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
- Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
- Suzan Kiwanga na
- Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).
Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu
View attachment 2744826
====
Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.
Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.
Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.
Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel
===
Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu wameamuru kufungwa kwa ofisi ya Chadema wilaya ya Karatu na kuwakamata watu wengine wakiwemo viongozi wa Chadema wa wilaya hiyo.
1. Joseph Mtui
2. John Malle
3. Fabiola Niima
4. Daniel Mnyampanda
5. Eliya Kibola, Katibu wa Chadema wilaya ya Karatu
6. Valerian Qurama
7. Samwel Welwel, Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Karatu
tabula rasaMnatamba hamuogopi , mkiguswa kidogo mnataka dunia ielewe- kumbe mnaogopa