Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Ndugu yetu mbona hueleweki. Umepatwa kicha kama unayemuita baada ya kuona zile posts?Maumivu kwa huyooo jamaa yenuuu anayehangaikaa. Upepo wenyewee umemkaukia maemaaaa. Akifikisha kura laki moja, wamtangazee atakua ameshindaa.
Kwahiyo kule uwanja wa Uhuru mulipo wanunulia bangi wale wapigaji meleka siyo mkusanyiko uleKampeni zimeanza? Mbona analeta mikusanyiko??
Mamaae lazima mteme ndoanoWatu wapi hao anao waongelea Lissu? Watu ambao pale serikali inapofanya juhudi kuimarisha maisha na ustawi wao, wewe hupinga huku ukipayuka kukejeli juhudi hizo.
Watu ambao unazunguka sehemu mbalimbali ulaya na USA ukichafua taifa lao, ukiwadalalia ushoga. A fool can never be a president of this country.
TULIA HIVYO HIVYO. UTAELEWA TU KAMA WENZIO WALIVYOELEWA.Sasa huku ni kutafuta wazamini au ni kufanya mikutano ya hazara mi mbona sielewi elewi
haha ha MkuuHilo bango limenikosha sana. Uchumi wa kati una faida gani kama wengine karibu waanze kuokota makopo.
endeleeni kupanua magoliMikoani huwa Hakuna matukio mengi kwa hiyo likitokea tukio lolote Kwao kufurika Ni kitu Cha kawaida Ni Kama Out Kwao .Lakini haimaanishi kuwa Ni wapiga kura Ni watu wanakuja kuuburudisha macho
Napenda nikujibu hilo swali lako lakini kwa kuwa ni wewe umeleta bandiko la kusifia umati, unalo jibu kama Mgombea huyo anatafuta wadhamini au yuko kwenye kampeni?Kwani kampeni zimeanza?
Kwahiyo yule jogoo aliletewa ikuluyaaani magu mpaka sasa hajaongea chcohote wala hajazunguka lakini presha watu wanaopata
Bado watakaopiga kura siyo wote hao.sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 hapo mimi ndio naona ni tatizo
Napenda nikujibu hilo swali lako lakini kwa kuwa ni wewe umeleta bandiko la kusifia umati, unalo jibu kama Mgombea huyo anatafuta wadhamini au yuko kwenye kampeni?
Itoshe kukumbusha kuwa waliojitokeza kugombea ni wengi, ngazi zote, kama kila mgombea atatafuta wadhamini kwa njia hiyo, hakika amani ingekuwa mashakani.
Ni kweli Watanzania siyo wajinga, ila wewe ni mjinga!
Kwenu mnashangaaga vichaa? Basi hamna tofauti nao. Wewe tunakujua ni wa Iringa, acha kutukana hovyo, mama yako inawezekana yuko humo kwenye huo umati.Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa kichaa na wewe uzungukwe.
Safari ya Lowassa ya matumaini 2015Napenda nikujibu hilo swali lako lakini kwa kuwa ni wewe umeleta bandiko la kusifia umati, unalo jibu kama Mgombea huyo anatafuta wadhamini au yuko kwenye kampeni?
Itoshe kukumbusha kuwa waliojitokeza kugombea ni wengi, ngazi zote, kama kila mgombea atatafuta wadhamini kwa njia hiyo, hakika amani ingekuwa mashakani.
Wanaweza kupanga foleni na kukusanyika mahali flani kumsubiria kwa hamu huyo kichaa afike huku wakiacha shughuli zao?????????tumia medula mda mwingine.