Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Watu wapi hao anao waongelea Lissu? Watu ambao pale serikali inapofanya juhudi kuimarisha maisha na ustawi wao, wewe hupinga huku ukipayuka kukejeli juhudi hizo.

Watu ambao unazunguka sehemu mbalimbali ulaya na USA ukichafua taifa lao, ukiwadalalia ushoga. A fool can never be a president of this country.
Mamaae lazima mteme ndoano
 
Mikoani huwa Hakuna matukio mengi kwa hiyo likitokea tukio lolote Kwao kufurika Ni kitu Cha kawaida Ni Kama Out Kwao .Lakini haimaanishi kuwa Ni wapiga kura Ni watu wanakuja kuuburudisha macho
endeleeni kupanua magoli
 
Kwani kampeni zimeanza?
Napenda nikujibu hilo swali lako lakini kwa kuwa ni wewe umeleta bandiko la kusifia umati, unalo jibu kama Mgombea huyo anatafuta wadhamini au yuko kwenye kampeni?

Itoshe kukumbusha kuwa waliojitokeza kugombea ni wengi, ngazi zote, kama kila mgombea atatafuta wadhamini kwa njia hiyo, hakika amani ingekuwa mashakani.
 
1597751744241.jpeg

Nyalandu akitafuta wadhamini 2015
 
Hilo nyomi ni dalili muhimu kuwa hakuna corona nchi hii kama Lissu anavotaka kuwaaminisha wakenya
 
Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Kwenu mnashangaaga vichaa? Basi hamna tofauti nao. Wewe tunakujua ni wa Iringa, acha kutukana hovyo, mama yako inawezekana yuko humo kwenye huo umati.
 
Napenda nikujibu hilo swali lako lakini kwa kuwa ni wewe umeleta bandiko la kusifia umati, unalo jibu kama Mgombea huyo anatafuta wadhamini au yuko kwenye kampeni?

Itoshe kukumbusha kuwa waliojitokeza kugombea ni wengi, ngazi zote, kama kila mgombea atatafuta wadhamini kwa njia hiyo, hakika amani ingekuwa mashakani.
Safari ya Lowassa ya matumaini 2015
1597752027776.jpeg
 
Wanaweza kupanga foleni na kukusanyika mahali flani kumsubiria kwa hamu huyo kichaa afike huku wakiacha shughuli zao?????????tumia medula mda mwingine.

Huyo hata hiyo medulla hana. Ndani ya fuvu lake ni mkorogo fulani hivi wenye funza.
 
Back
Top Bottom