Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Kukaa kimya wakati kuna mambo yanakuumiza moyo ni ugonjwa,
na huo ugonjwa unaitwa upoyoyo.
si wote wanaumwa ugonjwa huo.
 
Kwa hiyo kama watu hawavai chupi na wewe usivae?

Mwanamke ni kiumbe dhaifu, hebu kakae jikoni huko utupikie njegere .

Unaogopa jela? Unaeza ukaenda jela hata kwa kujamba tu kwenye daladala.
 
Kama tungekuwa na Mgombea Nyani na Huyu aliyepo,Mimi ningempigia kura Nyani.
 
Eti uraiani kunafananaje!, we si mzee wa ukombozi tulia upate dozi🤣🤣🤣
 
Sikuwahi kujua kama uko na kaujinga kichwani
 
Ndugu yangu tunamsapot sana japo ww huwez kuona tunamsapot kivp.mungu husimamq na mwenye haki na mwenye haki Huwa haachwi hata kidgo.
 
Ndugu Lissu,

Huku uraiani tunaambiwa yule kiongozi wa mchongo ameenda kupumzika visiwani huko.

Tunamsubiri.
 
Hicho kichwa chako uanze kukitumia kufikiri kwa usahihi na sio kuvalia mawigi tu.
 
Huelewi hata unachokiandika. Rudi MMU hili jukwaa ni oversize kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…