The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
UmepanicTundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Nje ya siasa, hatufanyi vitu kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine mf: kazi nk.Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
kazi ya kutupigania wapumbavu si kazi ndogoIla jamaa kapungua
Jamaa anapoteza muda tuKuwatetea watz inataka moyo wa chuma!
Nchi ikiwa na watu stupid na silly kama ww itakua ni taifa la ajabu lisiloweza hata kijitikosa ,Nyerere angekua mjinga na Ng'ombe kias hiki Basi Iddi Amin angechukua Kagera yote na pengine angeendelea mpaka achukue na mwanza na Kanda ya ziwa yote kama tu tukipata watu wa aina hiiUkianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Jamaa anafurahisha sana anavyoingia mahakamani kwa tabasamu kama yuko Picnic/beach yaani yuko normal tu kama hakuna chochote kilichotokeaMwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
Aachiwe tu awe huru mtaani.Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.
Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.
Bahati mbaya unamwambia maneno haya mtu aliyegoma kufa!Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Kuna busara kwa hapa Tz zaidi ya kudai Reforms kwa kipindi hiki?Ampe busara na hekima
Maisha marefu bila busara na hekima ni sawa na mpapai tasa
Tukiwa na wasiokuwa namaono kama wewe saivi hata nyerere asingepata nchi ya tanzania . Huna facts wala akili yautambuzi soma wapi waingereza walipigana na Tanzania sisi kupata uhuru nyerere alitumia akili ndio akapata nchi.Nchi ikiwa na watu stupid na silly kama ww itakua ni taifa la ajabu lisiloweza hata kijitikosa ,Nyerere angekua mjinga na Ng'ombe kias hiki Basi Iddi Amin angechukua Kagera yote na pengine angeendelea mpaka achukue na mwanza na Kanda ya ziwa yote kama tu tukipata watu wa aina hii
KabisaTz inaweza ikawa ina wAtu wenye roho mbaya kuliko hata hitler
UMewahi kukata tamaa yakupata mali ??Bahati mbaya unamwambia maneno haya mtu aliyegoma kufa!
Ndio maana maendeleo ni hafifu kwa baadhi ya watzNje ya siasa, hatufanyi vitu kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine mf: kazi nk.
Kwa lipiUmepanic
Nafuu wewe una ubongoHuelewi hata unachokiandika. Rudi MMU hili jukwaa ni oversize kwako.
HAta wewe sijawahi kujua wewe ni mnafiki kiasi hikiSikuwahi kujua kama uko na kaujinga kichwani
Hiwezi elewaKuna busara kwa hapa Tz zaidi ya kudai Reforms kwa kipindi hiki?
Sheria Haina hurumaTz inaweza ikawa ina wAtu wenye roho mbaya kuliko hata hitler