Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Mwambie mtaani wamemsahau wanafanya Challenge ya kucheza wimbo wa Bonge la Dada
 
 
Unaakili sana
 
Kabisa, halafu wanazuga ni wacha Mungu...hebu imagine Lucas Mwashambwa ana like post inayosema pingamizi la mke wa mdude lumetupiliwa mbali na mahakama.

KEsi hiyo ni mke wa mdude alilishtaki jeshi la polisi kulitaka ama limuachie mmewe au limpeleke mahakamani!!.
 
Change is coming for who naunakaa hujitolei unamtegemea mwanaumme wenzako achange hali kama hii hata nyerere hakuwa mwenyewe na mjue mnawivu maana ni mwanamke anaongoza nchi mxiuu mnaboa Mshana Jr
Change is a must na haiepukiki

Strategy ya change ndio Muhimu sana
 
Huyu Jamaa mna uhakika yuko gerezani kweli?
 
Chawa kama chawa.....hahaha.
 
Wewe ni Mjinga, waliopigania uhuru wa nchi hii wangekaa kimya ingekuaje?

Unaongea kama lijinga lisilo na elimu
 
😹😹😹 ankal unajichosha na dish hilo?
Huyo anachojua kulilia wanaume na kuwaroga achana naye..!!
Nileteeni nina tiba yake
Your browser is not able to display this video.
 
Man is rational being mawazo kama haya yanatutofautishaje na ng'ombe, kuku mbuzi n.k.

Magereza na mahakama ulidhani ni kwaajili ya ng'ombe, punda?

Don't pretend to be irrational!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…