Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Safari ya kuzurura mijini kutafuta wadhamini inaendelea

Kosa la Chadema kujijenga kwenye baadhi ya miji tu Tanzania mtalipata jibu mwezi October uchaguzi mkuu asilimia 80 ya wapiga kura wanaishi vijijini Sio baadhi ya miji ya mijini ambako Lisu anazurura na fomu akiona watu wa baadhi ya hiyo miji anapagawa anasahau kuwa hiyo Ni baadhi tu ya miji ambayo haifiki hata asilimia kumi ya miji yote ya Tanzania

Chadema miji waliyoweka Matawi active haizidi asilimia kumi ya miji yote ya mikoa na wilaya ya Tanzania bara na Zanzibar

Hiyo ndio mnakenua meno mkiona watu wa hiyo miji

Kumbe kazi ni kubwa kuliko meno mnayokenua meno
 
Kwa ujinga wako unafikikiri Alishindwa uchaguzi wa 2015?

Ccm haitakusaidia chochote zaidi ya kukutumia tu
 
Tulia we kapuku !
 
Tutashitakiwa MIGA
Nikichaguliwa ushoga ruksa

Ndiyo Sera za jamaa
Mpumbavu na mjinga wa kiwango cha kimataifa!
Hizi shule za kata zimezalisha wajinga badala ya werevu,
Sera? Unajua sera ww?
Kampeni zimeanza?
Hizo sera zimenadiwa wapi?
Jaribu kuwa na akili hata ya kuvukia barabara pumbavu ww
 
Wewe ni muongo 50 percent ya watanzania kwa sasa wanaishi mijini na hiyo ni sense ya mwaka 2012


Mwaka huu wanaweza kuwa kama 65 percent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…