figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania