Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Mbona ameanza kumtembelea wanachama wa CCM, nilitegemea ataanza na waasisi wa chadema.
 
Danieli 2:21, inasema:

"Yeye hubadili majira na nyakati, huwaondoa wafalme na kuwaweka wafalme, huwapa wenye hekima hekima, na wenye ufahamu huwapa maarifa."
Mimi sina dini hiki ulichoandika hapa hakina uhusiano na mada.

Come again.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
facial expression na body language ya mwenyeji inaeleza kila kitu,

sio vizuri kulazimisha kutembelea watu makwao ndugu zangu, dah :NoGodNo:
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Baadae msije kumiuta Lisu msaliti,maana samaki anaanza kuvuliwa kwa njia mbalimbali na akanaswa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Warioba huyu huyu au kuna mwengine
 
Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayo
Akili ya Warioba haihitaji chama ili kuwaza kwa usahihi. Inahitaji space tu, ili kuongea au kushauri kuhusu mambo yenye faida kwa mTanzania yeyote bila itikadi yake kisiasa.
 
Jaji Joseph Sinde Warioba alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka Novemba 5, 1985, hadi Novemba 9, 1990 chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi. Warioba babu akalee wajukuu

..Jaji Warioba ndio alifaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuliko Mzee Wassira.

..kwa maoni yangu Warioba anaendana na 4R za Mama na angekuwa msaada mkubwa kwa Chama.
 
Kazi imeanza.
Akitoka hapo akamtembelee Mzee Butiku, halafu aende kwa Mama Maria Nyerere na kumalizia kwa Mama/Bibi yake Soka.
Kwa Nyerere kisiki

Haijasahulika alivyokuwa akimponda Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo
 
Back
Top Bottom