Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Uliandika ukiwa serious?
Sasa tusemeje , kama umri ule anabadilisha nywele , mbona Mzee warioba na mvi zake anapendaza , mzee Malichela je, mzee Msekwa n.k , anafanya haya kwa faida ya nani ? kama ni chama haya ni kidunia tu.

Mwalim ambae ambae amefanya nae kazi ,mpaka anazikwa kichwa cheape, kuwa na mvi kwanza ni heshima ,kwa nini hataki wa sasa ?
 
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Hata kama ni hivyo !
Hata hao wanaowawezesha kutangazwa wanaweza pia wakawawezesha hao wengine kutangazwa badala yao hao wa miaka yote 😂😂🤣 Kupanga ni kuchagua!
You never know labda na wao wamewachoka 🤣🤣🤣 !
 
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Mkuu umeongea hoja nzito lkn sijui kama itaeweka vzr...watu wenye viburi vya madaraka na ukwasi, hakuna kinachowababaisha hapo!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Kwenye maongezi yao hitimisho lao wamefikia lipi
 
Mungu ni Mwaminifu,

Tunnaendelea kumuombea amlinde Mzee Warioba Hadi pale Nchi itakapopata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili dhamira yake utimie na KAZI yake animalize.

Na itakuwa hivyo.

Tukumbuke mwaka wa kukamilika na kutumika Katiba mpya ni 2026.
 
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Pamoja na hayo, ila watu wakibwatabwata inawatisha kwasababu wabaweza wakawaamsha walio lala. Mimi huwa nawaonea huruma vijana wajinga wajinga ambao kipindi cha kampeni wanapewa vifula na kofia alafu uchaguzi ukiisha wanasakwa wanaitwa panya road.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Huyu mzee mbona kaisha hivyo. Au gongo zimekiwa too much
 
Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayo
Warioba anaongelea umuhimu wa katiba mpya waziwazi, hao walioletwa na Mbowe umewahi kusikia popote wakiongelea katiba mpya?
 
Asimsahau kile kibibi kilichoufyata wakati wa Jiwe Bikijo Simba.
Nafikiri ni vyema kuanza na kuwatembelea hawa wenye taasisi zisizo za serikali za kutetea haki za makundi mbalimbali ili aweze kutengeneza mpangokazi wa nini cha kuwaambia wananchi.

Wakina dada Helen Kijo Bisimba, Ole Ngurumwa, TAMWA, LHRC, FORDIA, ESAURP, ESRF, REDET, Deus Kibamba, Sabato Nyamsenda, na wengieo, wanaweza kusaidia sana kupata muelekea wa wapi pa kuanzia.
 
Kwa Nyerere kisiki

Haijasahulika alivyokuwa akimponda Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo
Tatizo kaka mkubwa lopolopo sana,huaga haachi akiba,kwa mfano sasa kuna kura za wazi kabisa za team Magu,ila sasa inambidi kula matapishi yake.
 
R
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Ebo ! kumbe ?
 
Mungu ni Mwaminifu,

Tunnaendelea kumuombea amlinde Mzee Warioba Hadi pale Nchi itakapopata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Ili dhamira yake utimie na KAZI yake animalize.

Na itakuwa hivyo.

Tukumbuke mwaka wa kukamilika na kutumika Katiba mpya ni 2026.
Shida ya mfumo toka enzi hizo,lazima uingizwe mkenge uwe kama wengine..File la Warioba likifunguliwa hakua msafi kivile! Kina flan wanayajua mengi ya nchi hii..labda katiba mpya ipatikane
 
Back
Top Bottom