CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mgonjwa wa malaleUnawezaje kumfananisha na yule Kigagula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa wa malaleUnawezaje kumfananisha na yule Kigagula?
mzee warioba hawezi kukataa kukukaribisha kwake,
ila kulazimisha ndio tatizo, nadhani sura ya mzee inaeleza kila kitu![]()
yaan facial expression na body language ya mzee inaeleza wazi kwamba wageni ni kama wameforce tu kumtembelea mzee wa watu dah..utalazimisha vipi kwenda kwa Mzee Warioba wakati ana wasaidizi na walinzi toka serikalini?

"maridhiano"!!!??Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
View attachment 3231973
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
figganigga said:Nani amesema Warioba anagombea Urais?
itifaki ya kulazimisha kutembelea mahali ambapo unajua kabisa huwezi kukataliwa, matokeo yake ndio hayo sasa yanaonekana kwenye facial expression na body language ya mzee mwenyejiHivi unaelewa chochote kuhusu Itifaki ya Viongozi? 😂😂

yaan facial expression na body language ya mzee inaeleza wazi kwamba wageni ni kama wameforce tu kumtembelea mzee wa watu dah![]()
Mama Maria Nyerere anamkubali Lissu balaa kwa taarifa yako.Kwa Nyerere kisiki
Haijasahulika alivyokuwa akimponda Nyerere kuwa alizoea kuishi kwa uongo
Jaribu wewe kuzamia kama hujaenda kuolewa Segerea 😄itifaki ya kulazimisha kutembelea mahali ambapo unajua kabisa huwezi kukataliwa, matokeo yake ndio hayo sasa yanaonekana kwenye facial expression na body language ya mzee mwenyeji![]()
Sasa maoni ya mtu mmoja ina maana chama kimempitisha kuwa mgombea? After all Warioba ni mwana CCM kama kugombea angegombea CCM.figganigga said:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
(ULISOMA HADI MWISHO AU ULIKURUPUKA KUJIBU?)
Kwani humu si kila mtu anatoa maoni yake au?Sasa maoni ya mtu mmoja ina maana chama kimempitisha kuwa mgombea? After all Warioba ni mwana CCM kama kugombea angegombea CCM.
Kwani kuna mtu amesema kuwa Warioba anashawishiwa kujiunga na CDM!!??Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayo
Umeshaanza kujichanganya mwenyewe sasa.Kwani humu si kila mtu anatoa maoni yake au?
Wale wa upande ule WAMENUNAAAKazi imeanza.
Akitoka hapo akamtembelee Mzee Butiku, halafu aende kwa Mama Maria Nyerere na kumalizia kwa Mama/Bibi yake Soka.
Lissu akili kubwa sana.Wale wa upande ule WAMENUNAAA
Anaakili kubwa kwa chawa wakeLissu akili kubwa sana.
ni vizuri kujiepusha kulazimisha kuwatembelea viongozi amabao hawako tayari kwa jambo hilo kwa wakati huo,..sasa hapo unakuwa kama unapiga ramli.
