Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Ahahahahaha! Yaani vijana wa ovyo wa Chadema mnachekesha kweli. Kwamba Mzee Wassira hana sifa ya kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kisa mzee lakini Mzee Warioba anayemzidi umri Mzee Wassira eti ana sifa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mnachekesha kweli!
 
Ifike muda hawa wazee wastaafu waone hata CHADEMA inaweza kuongoza nchi vema tu
 
Mwenzenu anauliza Warioba alikuwa Waziri Mkuu lini? Warioba alikuwa Waziri Mkuu wakati wa Utawala wa Mzee Ruksa
 
Ahahahahaha! Yaani vijana wa ovyo wa Chadema mnachekesha kweli. Kwamba Mzee Wassira hana sifa ya kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kisa mzee lakini Mzee Warioba anayemzidi umri Mzee Wassira eti ana sifa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mnachekesha kweli!
Nani amesema Warioba anagombea Urais?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.

Katika ziara hiyo maalumu, Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya CHADEMA uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024 na ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

IMG_3046.jpeg

IMG_3048.jpeg
 
Unadhani nyumbani Kwa Waziri mkuu mstaafu unajiendea tu bila kuitwa?

Bure kabisa we CHAWA 😂
mzee warioba hawezi kukataa kukukaribisha kwake,
ila kulazimisha ndio tatizo, nadhani sura ya mzee inaeleza kila kitu :pedroP:
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024

Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.

MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
ni historia ya aina yake ikitokea amekuwa rais. By the way anafaa
 
Itakuwa aliyewahi kuwa waziri mkuu enzi za siasa za chama kimoja na kustaafu aibuka rais kupitia chama cha upinzani! Warioba bado ana ushawishi kuongoza nchi tena katika mukhtadha mpya wa siasa za nchi
 
Joseph Warioba alizaliwa tarehe 15 Mei 1940, na akiwa na umri wa miaka 84 kwa sasa (2025).

..umri umekwenda lakini kifikra Mzee Warioba yuko vizuri.

..Mama Abduli amsikilize Mzee Warioba haswa kuhusu namna ya kufanikisha 4R.
 
Back
Top Bottom