figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Picha*
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo maalumu, Mhe Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024 na ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
Kama Warioba anafaa kuwa Rais basi hata Wasila anafaa kuwa waziri mkuuMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.Tundu Lissu amelianza gemu vizuri sana, tunamuomba kila la kheri
Au makamu wa raisi!Kama Warioba anafaa kuwa Rais basi hata Wasila anafaa kuwa waziri mkuu
Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayoKazi imeanza.
Akitoka hapo akamtembelee Mzee Butiku, halafu aende kwa Mama Maria Nyerere na kumalizia kwa Mama/Bibi yake Soka.
Naunga mkono hoja.Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Kizeee hicho?Naunga mkono hoja.
Jaji Warioba umri umeenda hawezi tena kupambana na majangili ya CCM, nadhani anafaa kuwa kaimu baba wa taifa awe mshauri na kuonya vijana wakienda kinyume. halafu Jaji Warioba analipenda hili sharti lake tangu nimfahamu 2015 sijawahi kumuona amevaa shart tofauti na hiliMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
View attachment 3231945
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024
Pia kuhusu ulazima wa kuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania ili kuwa na chaguzi zinazoaminika na zisizo na dosari.
MY TAKE;
Jaji Warioba anafaa kuwa Rais wa Tanzania
Toa sababuKama Warioba anafaa kuwa Rais basi hata Wasila anafaa kuwa waziri mkuu
Jamaa ana akili sn huwezi kumuona amemtembelea Mizengo piga au JKTundu Lissu amelianza gemu vizuri sana, tunamuomba kila la kheri
Kunywa maji dogo. Punguza makasiriko🤣🤣🤣Mbowe alimleta Sumayee, lowasa, Kingunge, Masha ndani ya chadema. Lissu kwenda afisini kwa Warioba anaoneka shujaa.chawa wa Lissu kazi munayo
Warioba alikuwa waziri mkuu mwaka ganiToa sababu
Hivi mnafikiri CCM wanajali au Samia anakosa usingizi kwa ajili ya mambo kama haya? Msisahau kwamba CCM hawashindi kwa sababu ya kupigiwa kura nyingi au kuonekana wana mambo yanayowapendeza wananchi.
Umri ushamkimbiaJaji Warioba ni sauti ya Mwalimu Nyerere kwa kiasi fulani. Ni kama baba mdogo wa taifa hivi.