Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

Acha wivu.
Ulichosema, haihusiani na mada na hata nilichokisema. πŸ””πŸ””-weπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatahivyo, siwezi kuwa na wivu wakuwa Msaliti ama wa kumsujudia Kaburu.
 
Wewe ni chuki zinakusumbua.Kaa vizuri sindano isivunjikie ndani.
 
Wewe ni chuki zinakusumbua.Kaa vizuri sindano isivunjikie ndani.
Twende kazi Amsterdam ashitaki Tigo
Tena mwambieni kabisa ruksa kufungua kesi dhidi ya Tigo

Tukutane mahakamani iwe ya ndani au nje ya nchi mwambieni kama yeye wakili nguli afungue mshenzi mkubwa
 
Wafuasi wa makonda mnachekesha sana
Huyo wakili kanjanja Amsterdam anatishia nyau nanil Tanzania hii nani labda locally au Internationally ? Mahakama za ndani au za kimataifa mjinga huyo

Afungue kesi dhidi ya Tigo aone mziki wake

Tunamsubiri kwa hamu sana afungue kesi locally au Internationally mbwa huyo
 
Kwa iyo wamekutana wapi
 
Hiyo yote 100 lakini muuwaji mkuu na mtekaji kipindi hicho alikuwa marehemu magufuri. Kafa bila kutubu na kama moto upo huko basi aendelee kuungua.

Nakutakia kila la heri Tundu Lissu ushinde kesi hii na tuwajue ccm na ubaya wao
 
Na kopi ya faili la njama hizi ovu tunawapa Umoja wa Ulaya makao yake makuu Brussels kuonesha kujiburuza kwa serikali ya Tanzania kutofanya uchunguzi wowote waliohusika kuwashambulia kwa risasi mheshimiwa Tundu Lissu mwaka 2017

UMOJA WA ULAYA EU:
Umoja wa Ulaya ni muungano wa kisiasa na kiuchimi kati ya mataifa 28 yaliyoko hasa katika bara la Ulaya.

Makao Makuu EU, Idara na mashirika ya utendaji ya Tume yapo Brussels na Luxemburg . Mikutano ya kila wiki ya Makamishna hufanyika katika makao makuu ya Brussels na Strasbourg.
 
Siasa za nchi yetu zimejaa vituko kweli nilitegemea wakati huu ni mzuri sana wa kuhamasisha wafuasi wao wajiandikishe kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura ili kujiandaa kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji, mtu muhimu kama makamu wa mwenyekiti taifa yuko bize ulaya kwa mambo binafsi kabisa ambayo angeweza kuyashughulikia muda mwingine.

Hapo najua kisaikolojia wamejiandaa kushindwa . Maana usipopambana kuwaandikisha wapiga kura unategemea hao wanaohamasishwa na ccm ndio waje kupigia upinzani!?

Ili takiwa muda huu viongozi wote wakuu wa chama pamoja na wale wa Kanda au majimbo wawe bize kuhakikisha makada wote wamo kwa daftari la wapiga kura na kuhamasisha wafuasi wengine waunge tera.

Najua mtanitukana lakini huu ndo ukweli bongo kuna upinzani uliojaa vituko!
 
😁😁😁.wewe nani kakudanganya viongozi wa Tanzania wanachaguliwa kwa kupigiwa kura?
 
Tuna safari ndeefu ya kuoata chama cha upinzani!
Nyerere aliwaingiza chaka wazungu,
 
Tanzania hakuna uchaguzi ndugu. Kuna maigizo na vituko vya mtu mweusi kwenye sanduku la kura

Kama hamkumwelewa Nape na yule DC wa Longido basi endeleeni kuwa wajinga tu
 
Mijitu mijinga inajadili mambo binafsi ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…