SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ulichosema, haihusiani na mada na hata nilichokisema. ππ-weππππππAcha wivu.
Hatahivyo, siwezi kuwa na wivu wakuwa Msaliti ama wa kumsujudia Kaburu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichosema, haihusiani na mada na hata nilichokisema. ππ-weππππππAcha wivu.
laiti ungelijuaJF pamoja na kutishwa kila dk na kukamatwa kwa viongozi wao hawajawahi kuwasaliti wanachama wao
Wewe ni chuki zinakusumbua.Kaa vizuri sindano isivunjikie ndani.Robert Amsterdam huyo tapeli wakili wa Lisu.
Hana lolote tapeli wa mjini huyo
Muulize kesi ya Bob Wine wa Uganda mpinzani mkubwa kuliko Tundu Lisu hiyo.kesi alifika nayo wapi
Alikula pesa za Bob Wine na wafadhili wa Bob Wine mpinzani mkuu wa Museveni akapotea mitini kwa kesi ambayo alijua kabisa hawezi shinda
Hapo anataka kumtumia Tundu Lisu apige pesa kupitia wafadhili wa Lisu kwa kisingizio cha Legal fees au matapeli wawili wamekutana wa Sheria Lisu na Amsterdam wamepanga case wafadhili watoe pesa za legal fees wagawane
Katika mawakili matapeli kama wa Nigeria Huyo Amsterdam ni mmojawao
Twende kazi Amsterdam ashitaki TigoWewe ni chuki zinakusumbua.Kaa vizuri sindano isivunjikie ndani.
Wafuasi wa makonda mnachekesha sanaSema kakutana na tapeli wa kimataifa wa sheria
WamefuraWafuasi wa makonda mnachekesha sana
Huyo wakili kanjanja Amsterdam anatishia nyau nanil Tanzania hii nani labda locally au Internationally ? Mahakama za ndani au za kimataifa mjinga huyoWafuasi wa makonda mnachekesha sana
Kwa iyo wamekutana wapiMakamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
Hiyo yote 100 lakini muuwaji mkuu na mtekaji kipindi hicho alikuwa marehemu magufuri. Kafa bila kutubu na kama moto upo huko basi aendelee kuungua.Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa kampuni mama ya simu za mkononi ya Tigo kwa pamoja na serikali ya Tanzania kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kutoa uhai wake.
Lissu aliyasema hayo baada ya mahakama moja nchini Uingereza kuelezwa kuwa kampuni ya mawasiliano ya Tigo (ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa wakati huo na Millicom) ilitoa taarifa za mawasiliano na nyendo za mwanasiasa huyo kwa saa 24 siku chache kabla ya tukio la kushambuliwa kwake.
Septemba 7, 2017 Lissu alishambuliwa kwa risasi zipatazo 16 aliporeja kutoka kwenye kikao cha Bunge, akiwa katika uwanja wa makazi yake na viongozi wengine eneo la Area D, jijini Dodoma, na baadaye kufanyiwa upasuaji mara 25 nchini Kenya na Ubelgiji.
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema.
Yaani utetezi wa nyumbu wa kina lissu bwana, huniacha hoi kweli kweli.πππ.wewe nani kakudanganya viongozi wa Tanzania wanachaguliwa kwa kupigiwa kura?
Mijitu mijinga inajadili mambo binafsi ya watuSiasa za nchi yetu zimejaa vituko kweli nilitegemea wakati huu ni mzuri sana wa kuhamasisha wafuasi wao wajiandikishe kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura ili kujiandaa kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji, mtu muhimu kama makamu wa mwenyekiti taifa yuko bize ulaya kwa mambo binafsi kabisa ambayo angeweza kuyashughulikia muda mwingine.
Hapo najua kisaikolojia wamejiandaa kushindwa . Maana usipopambana kuwaandikisha wapiga kura unategemea hao wanaohamasishwa na ccm ndio waje kupigia upinzani!?
Ili takiwa muda huu viongozi wote wakuu wa chama pamoja na wale wa Kanda au majimbo wawe bize kuhakikisha makada wote wamo kwa daftari la wapiga kura na kuhamasisha wafuasi wengine waunge tera.
Najua mtanitukana lakini huu ndo ukweli bongo kuna upinzani uliojaa vituko!!
Tajq kiongozi mmoja wa ccm aliyeingia kwa kura sahihi za wananchiYaani utetezi wa nyumbu wa kina lissu bwana, huniacha hoi kweli kweli.