Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Hivi ni kwanini mlichukua pesa za Abdul na Mama yake? Upepo umeanza kupuliza nyeti za kuku sasa.
 
Kuna jambo gani Lissu ameshawahi kulitolea ushahidi hata tukianzia alipogombea urais?

Hata hii itakuwa ni fix fix tu, nayo itapita. Nachowaza amenusa hali mbaya kwake hivyo anajaribu kuegesha kila maneno ili aendelee kuwa salama.

Wamalize tu uchaguzi wao, tujue nan ni nan na nani anahamia wapi ama anstaafu siasa.
 
Aisee
 
Lisu ameshatoa Ushaidi mara nyingi sana. Amejitokeza Wenje kubwabwaja eti walienda kwake kufuatilia document ili alipwe na Serikali. Kitu gani hiki Jamani!

Mtoto wa Rais anahusikaje na malipo ya serikali? Ni Kikao gani Serikalini mtu anaingia na Cheo Cha mtoto wa Rais.

Hii issue ni aibu sana kwa Chadema na Serikali ya awamu ya sita inayosifiwa na Mbowe!
Viongozi wandamiz wa Chama Kinachopewa matumaini ya kushika dola wanageuka kuwa madalali wa Kuhonga watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…