Wala Rushwa ukitoa siri zao wanaku-R.I.PMgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.
Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.
Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Nimemfahamu akiwa sekondari, naifahamu family yake na Mengine tu ya kwakeUmeanza kumjua Lissu kipindi cha Magufuli?
Angekwepo Marehemu Mkapa angekuambia Lissu ni nani.
Kikwete aliwahi kutamka ni heri wakose Urais kuliko Lissu kuingia bungeni.
Source : Trust Me Bro Hutaki Acha.
Yes mbowe atatimiza azima yake ya 2017 aliyoshindwa kumuua. Na sasa akimuua itajulikana ni serikali maana yeye lisu alishamsafisha mbowe kwa kusema wanataka kumuua ili wamsingizie mbowe wakati muuaji ndiyo mbowe. Hahaha mbowe gaidiLissu aongezewe Ulinzi
"Anatumia weledi wake kisheria kutuhadaa?" Kwa nini atuhadae. Yeye anafaidika vipi na huko kuhadaa?Kalamu,
Huoni kwamba anatumia weledi wake kisheria kutuhadaa?
Ikiwa shahidi muhimu ni marehemu, awezaje itwa court kushuhudia iwapo Lissu amepandiahwa kizimbani?
Na mbowe huyu huyu alikosa kosa kumuua zito, Dkt Slaa aliponea chupu chupu akakimbilia Canada, ila Lisu anabahati zile risasi zilimkosa kosa. Mbowe kwa ufupi ni gaidi na uajiWatu walihoji hayo tokea 2017!
Ila ilikuwa ukihoji, unaishia kuitwa Mataga.
These people are dumb.
Do you have the required credentials to determine this?Btw, JJ was right…. Dogo ni mental health
Shut up.Uumbwaaa
Nikukumbushe tu hatari ya ulafi. Unasakamia matonge makubwa, harakaharaka yanakukwama kooni. Sasa niambie faida utakayo pata hapo.Ningelipenda 'TALL' amwage ugali kabisa ili kila raia amege matonge kwa kadri anavyotaka.
Aina hii ya ulishi wa kutulisha matonge kidogo kidogo huku akipulizia, hatuwezi kushiba haraka.
Tuna njaa sana sisi bhana.
Ninakula kwa uangalifu na kwa tahadhari kubwa ili nisikwamwe.Nikukumbushe tu hatari ya ulafi. Unasakamia matonge makubwa, harakaharaka yanakukwama kooni. Sasa niambie faida utakayo pata hapo.
Ana mengi ya kusema na nahisi ndio maana anapata hizo threats za kuuawa tena. Kwa Tanzania huyu ni mwanamageuzi pekee tuliyebaki nae. Too sad atakata tamaa na sisi soon. Ila Mbowe kusema ukweli sijawahigi kumuamini. Anaonekana ni mfanyabiashara tu. Na watu wake wote sasa wamekuwa hivyo.
Psychopath...Ukweli gani usio na ushahidi, revelations tu! Ndiyo maana nasema Lisu kuna nati imelegea kichwani. Clubhouse ameleta ushahidi gani, maneno tu! Amefanya submissions AND Submissions are not evidence
ISSA OMARI MAPESA VS. JUMANNE SEBARUA
Submissions are not evidence but information expounding on the general features of the party's case
Una ushahidi wa haya madai??Dot zinaunganishwa hivi.
Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?
Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?
Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kutishia au kutaka kuvujisha "Siri" Fulani
Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.
Tindo ,Erythrocyte hawa jamaa ni zaidi ya kupe- wanabaki kwenye ngozi hadi iwe kiatuWafuasi wa CHADEMA kama mtafuatilia vizuri kupotea kwa ben Saanane mtagungua kuna mtu yuko CDM anashikiana na watekaji ingiwa ni ngumu haya machawa kina Tindo ,Erythrocyte kuelewa
Mwamba GT hupo?Mimi nilishtuka nilipo sikia habari za mtu aliyempa Lissu hizo info ni marehemu na kwamba alikuwa mjumbe wa kamati kuu
Nikajiuliza huyo mtu ni nani na alikufa kifo cha aina gani?
Mambo ya Abdul na Wenje na rushwa zao ni swala la hivi karibuni tu, Aliyefariki karibuni ambaye ni mjumbe bila shaka ni Mzee Ali Kibao
Kwa mazingira haya sio chadema wala serikali watatoka kwenye kashfa ya kifo cha Kibao, hii inaelekea ni joint operation kati ya serikali na baadhi ya watu chadema
Halafu ndio maana pia mama yenu aling'aka aliposkia kifo cha Kibao na kuishia kusema kwa hasira kifo ni kifo tu wamekufa wangapi mnahangaika na Kibao?
Huenda siri alizokuwa nazo Kibao zina implicate familia yake ndio maana akawa kama katiwa pilipili
Muda ni mwalimu mzuri, Tusubirie
Ahsante mkuu, 'macho_mdiliko' kwa 'summary' hii yenye mtiririko mzuri unao eleweka kirahisi kabisa.Mkuu, Kibao alikuwa ni mtu wa karibu sana wa Mbowe. Na alikuwa anajua mengi.
Tutafakari:
1. Mwenyekiti anafuatwa gerezani na ''watu wasiojulikana'' na kufanya mazungumzo ya kina.
2. Anatolewa gerezani na kwenda kwa mama moja kwa moja na wafanya mazungumzo ya faragha wao wawili tu.
3. Abdul na makapu yake yaliyojaa fedha anamtembelea mwenyekiti na baadhi ya viongozi wa chama na anaondoka makapu yakiwa tupu.
3. Mwenyekiti anaambiwa amuunganishe Abdul na Lissu ili naye apate mgao wake na anamteua Wenjele kufanya hiyo kazi.
4. Wenjele na Abdul wanakwenda na makapu yao yaliyojaa fedha kwa Lissu lakini Lissu anayakataa.
5. Lissu anafanya uchunguzi mkali na wa siri na mzee Kibao anampa details zote.
6. Lissu anaanika hadharani kuhusu makapu ya fedha.
7. Mwenyekiti anaitisha kikao ili amwadhibu Lissu
8. Lissu anatoa ushahidi wa kina na mwenyekiti anaufyata.
9. Mwenyekiti anagundua kumbe Kibao alitoa siri.
10. Mwenyekiti anamrudia Abdul na kumweleza alichofanya Kibao, na Abdul anamwambia mama, na mama anamwambia mkuu wa ''wasiojulikana'' na ''wasiojulikana'' wanatumwa kufanya waliyofanya.
11. Wakati wa mazishi ya Kibao, familia inakuja juu lakini mwenyekiti anaingilia kati kinafiki na kusema wawe na adabu.