kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mnafiki kwenye ubora wako!Tulia wewe, your boy Bashite about to get caught in the squeeze real soon, na atatapishwa mpaka nyongo na sponsor hana protection yeyote
🤲Beba mabegi tufuatane kigagula ajuza mkubwa!
Soon utajua boss wako au chawa sijui hana nguvu yeyote na hana tofauti na kibaka wa mtaaniMnafiki kwenye ubora wako!
Masikini wewe unajua.Maskini weeh huna unachojua .
Kuamua kukupuuza mtu mpumbavu kama wewe usiyejielewa nako ni njia sahihi.SHERIA SIYO HAKI WEWE KIMA PUNJU ....
Maendeleo yanakuja bila uhai, uhai ukiwepo na uhakika wa kuishi ukiwa garanteed ndipo inakuwa rahisi kuwaza kuhusu maendeleoKwa hiyo tumsaidie nini?
Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
wanaoheshimu nchi yao ni wale wanaowateka kuwa ua na kuwa tesa raia wa nchi yao na kuuza rasilimali za taifa kwa wageni huku wakitembeza bakuli kwa mataifa ya nje1. Kumekuchaaa.
2. Huku Land Rover wanapata matangazo ya bure kupitia Kodi za wananchi kule Lissu anafungua kesi huko kunakotengenezwa Land rover kwa kuabudu Mahakama za huko kwa Mabepari na kuziponda Mahakama zetu na Wanasheria wetu.
3. Lissu kafanya kosa la kudharau mifumo ya kutoa/kudai haki nchi ambayo anataka/anaota kuwa Kiongozi Mkuu kupitia Kura katika uchaguzi ujao (2025).
**Patamu hapo.
Jiwe+ Makonda + SabayaHuyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Huyo kuna watu wanampenda akitoka mwoposa anakuja huyo yaan mtu hata wazazi wake hawapendi anampenda mwoposa akitoka mwoposa anakuja DABTuongelee serious...ushahidi huo wa Tigo ukipatikana, lissu hawezi kumshtaki Makonda? Makonda needs to go to jail hatujui kapoteza wangapi na wangapi wengine maisha yao yapo at risk kwa uwepo wake uraiani....go to hell Makonda go sucker
Magu asingeweza enda front.....TL anajua analoongea..Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Nani ambaye haendi mahakamaniUnajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.
Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
Lissu mbona haendi mahakamani? Ni miaka mingi anaongea tu kuhusu hii issue. Nafikiri ameifanya political zaid.Nani ambaye haendi mahakamani
Mnakunywa damu ya Binadamu kama juice mpaka mnarithisha hiyo kiu ya uuaji kwa Vitoto vyenu. Pambaf kabisa...Bado ana weweseka!
The evidence is slowly emerging. Atakwenda sasa akiwa na ushahidi full.Lissu mbona haendi mahakamani? Ni miaka mingi anaongea tu kuhusu hii issue. Nafikiri ameifanya political zaid.