- Thread starter
- #281
Kwahiyo unataka kutuambia Samia anaendaga Marekani kutembeza bakuli kwa mashoga.Si ndio Wamarekani walimtuhumu Makonda kwa kuwashughulikia Mashoga hapa TZ au umesahau. Unafikiri haki ya kuishi nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka kutuambia Samia anaendaga Marekani kutembeza bakuli kwa mashoga.Si ndio Wamarekani walimtuhumu Makonda kwa kuwashughulikia Mashoga hapa TZ au umesahau. Unafikiri haki ya kuishi nani?
Hiyo ni akili yako inavyokutuma. Kwani wewe hujui kuwa US ndio inaongoza kwa mambo ya kishoga duniani?Kwahiyo unataka kutuambia Samia anaendaga Marekani kutembeza bakuli kwa mashoga.
Sasa tangu azuiwe kumempunguzia nini kwenye maisha yake!
Mwambieni lissu nobody cares kapigwa risasi ngapi kapigwa na nani wabongo tupo busy kutafuta ugali yani hii kick yake inaonesha tu kaishiwa. Atafute story mpya
😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😁😁😁Beba mabegi tufuatane kigagula ajuza mkubwa!
LISU NI MGONJWA AKILI. ANATATIZO LA KUJUA UELEKEO WA INCHI INATAKA NINI KWA SASA HAJUI KWENDA NA WAKATINilipokuwa Ilboru miaka ya 90’s nilikuwa debate club records pale. Lissu alikuwa ana debate toka 1986 na hajawahi kushidwa debate hata moja.
Marais wote kuanzia Mkapa, Kikwete na Magufuli wamemshidwa.
Lissu haongeki cha ajabu Mama ulitaka kumuhonga sijui ulikuwa unafikiria nini kumtuma Abdul eti akamuhonge Lissu haki zake. Lissu ana uzoefu na kujulikana kuliko hata Samia sehemu nyingine.
Badala ya kutunza nyoka waliopo ndani ya vyombo vya usalama na wakina Makonda kuwa mwangalifu sana maana Lissu ataweka mambo wazi.
Majizi tena yana confirm kabisa mbele ya cameraNa nyie wewesekeni mfikishe mahakamani, Mnaogopa, nini?
Msikilize huyu, ndio utajua,
View attachment 3106411
Majizi tena yana confirm kabisa mbele ya cameNa nyie wewesekeni mfikishe mahakamani, Mnaogopa, nini?
Msikilize huyu, ndio utajua,
View attachment 3106411
Kwa nini Polisi wanamkwepa hawataki kumhoji kwa kauli hii.Bado ana weweseka!
amekua nani nchi hii, si ameshapona aende sasa akafungue kesi sio analia lia tu kama mtoto mdogoKwa nini Polisi wanamkwepa hawataki kumhoji kwa kauli hii.
Magu alimtuma Konda.Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
umeandika niniKuzuiliqa Makinda kwenda USA atazamwe sana Mange Kimambi.
Amekua nani? fafanua ulitaka awe nani ili ahojiwe.amekua nani nchi hii, si ameshapona aende sasa akafungue kesi sio analia lia tu kama mtoto mdogo
nimekuelewa ni kweli mhusika mkuu wa kupelekea makonda kuzuiliwa kwenda maerekani ni mange kimambiKuzuiliqa Makinda kwenda USA atazamwe sana Mange Kimambi.
We nawe ni mojawapo ya vijana wanaoteka watu.Aongezewe dozi nadhani?
Utumbo.umeandika nini
Makonda ana dhambi gani hadi Mange kuishawishi America kwa kumzuia Makonda asiingie nchini mwao, issue ya Makonda ni kuvunja haki za binadamu, mojawapo ni kuwanyima watu haki ya kuishi.nimekuelewa ni kweli mhusika mkuu wa kupelekea makonda kuzuiliwa kwenda maerekani ni mange kimambi