Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Si ndio Wamarekani walimtuhumu Makonda kwa kuwashughulikia Mashoga hapa TZ au umesahau. Unafikiri haki ya kuishi nani?
Kwahiyo unataka kutuambia Samia anaendaga Marekani kutembeza bakuli kwa mashoga.
 
Kwahiyo unataka kutuambia Samia anaendaga Marekani kutembeza bakuli kwa mashoga.
Hiyo ni akili yako inavyokutuma. Kwani wewe hujui kuwa US ndio inaongoza kwa mambo ya kishoga duniani?
 
Sasa tangu azuiwe kumempunguzia nini kwenye maisha yake!

😂😂😂😂

Nani anayejua? Hayo yanamuhusu yeye binafsi.

Maana alifeli. Na nina hakika hawezi kujaribu tena. Na kibaya kabisa, haaminiki tena. Na pia hata yeye atakufa.

Bebaneni ili safari yenu iwe ya kujitakia uchovu
 
Mwambieni lissu nobody cares kapigwa risasi ngapi kapigwa na nani wabongo tupo busy kutafuta ugali yani hii kick yake inaonesha tu kaishiwa. Atafute story mpya

Hii ndiyo story mpya kwa sasa .... jiandaeni kila kitu kitawekwa wazi kwenye mahakama UK.
 
Hii imekuja baada ya kufeli maandamano, wanashindwa kuwaambia ukweli wanachama wao kwamba wamefeli.
 
Nilipokuwa Ilboru miaka ya 90’s nilikuwa debate club records pale. Lissu alikuwa ana debate toka 1986 na hajawahi kushidwa debate hata moja.

Marais wote kuanzia Mkapa, Kikwete na Magufuli wamemshidwa.

Lissu haongeki cha ajabu Mama ulitaka kumuhonga sijui ulikuwa unafikiria nini kumtuma Abdul eti akamuhonge Lissu haki zake. Lissu ana uzoefu na kujulikana kuliko hata Samia sehemu nyingine.

Badala ya kutunza nyoka waliopo ndani ya vyombo vya usalama na wakina Makonda kuwa mwangalifu sana maana Lissu ataweka mambo wazi.
 
LISU NI MGONJWA AKILI. ANATATIZO LA KUJUA UELEKEO WA INCHI INATAKA NINI KWA SASA HAJUI KWENDA NA WAKATI
 
Kuzuiliwa Makonda kwenda USA atazamwe sana Mange Kimambi.
 
nimekuelewa ni kweli mhusika mkuu wa kupelekea makonda kuzuiliwa kwenda maerekani ni mange kimambi
Makonda ana dhambi gani hadi Mange kuishawishi America kwa kumzuia Makonda asiingie nchini mwao, issue ya Makonda ni kuvunja haki za binadamu, mojawapo ni kuwanyima watu haki ya kuishi.
 
Back
Top Bottom