Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

1. Kumekuchaaa.

2. Huku Land Rover wanapata matangazo ya bure kupitia Kodi za wananchi kule Lissu anafungua kesi huko kunakotengenezwa Land rover kwa kuabudu Mahakama za huko kwa Mabepari na kuziponda Mahakama zetu na Wanasheria wetu.

3. Lissu kafanya kosa la kudharau mifumo ya kutoa/kudai haki nchi ambayo anataka/anaota kuwa Kiongozi Mkuu kupitia Kura katika uchaguzi ujao (2025).

**Patamu hapo.
 
Mae
Kwa hiyo tumsaidie nini?

Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
Maendeleo yanakuja bila uhai, uhai ukiwepo na uhakika wa kuishi ukiwa garanteed ndipo inakuwa rahisi kuwaza kuhusu maendeleo
 
1. Kumekuchaaa.

2. Huku Land Rover wanapata matangazo ya bure kupitia Kodi za wananchi kule Lissu anafungua kesi huko kunakotengenezwa Land rover kwa kuabudu Mahakama za huko kwa Mabepari na kuziponda Mahakama zetu na Wanasheria wetu.

3. Lissu kafanya kosa la kudharau mifumo ya kutoa/kudai haki nchi ambayo anataka/anaota kuwa Kiongozi Mkuu kupitia Kura katika uchaguzi ujao (2025).

**Patamu hapo.
wanaoheshimu nchi yao ni wale wanaowateka kuwa ua na kuwa tesa raia wa nchi yao na kuuza rasilimali za taifa kwa wageni huku wakitembeza bakuli kwa mataifa ya nje
 
Paulo mara ya tatu sasa ama nne unatajwa ma Lissu hadharani kwamba ulitaka kumuua - tuhuma hizi kubwa kabisa za kutaka kutoa uhai wa mtu.

Jitokeze ujisafishe ; ujibu hizi tuhuma na kutaka kutoa uhai wa mwanadamu mwezako.
Ukikaa kimya basi tutajua ni kweli wewe ni muuaji - hadi Ben saa8 inasemekana ulimuua wewe.
 
Tuongelee serious...ushahidi huo wa Tigo ukipatikana, lissu hawezi kumshtaki Makonda? Makonda needs to go to jail hatujui kapoteza wangapi na wangapi wengine maisha yao yapo at risk kwa uwepo wake uraiani....go to hell Makonda go sucker
Huyo kuna watu wanampenda akitoka mwoposa anakuja huyo yaan mtu hata wazazi wake hawapendi anampenda mwoposa akitoka mwoposa anakuja DAB
 
Unajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.

Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
Nani ambaye haendi mahakamani
 
Back
Top Bottom