Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Chuki binafsi tu dhidi ya makonda basi ataje majina ya hao vijana kama kaweza kumtaja kiongozi wao
 
Chuki binafsi tu dhidi ya makonda basi ataje majina ya hao vijana kama kaweza kumtaja kiongozi wao
Una haraka ya nini wewe jiandae tu kwenda kumtetea mahakamani hakawiagi kujiliza huyo
 
Huyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?
Siyo mhalifu bali ni propaganda za kisiasa tu hizo angekuwa ni mhalifu angekuwa magereza. Baada ya maandamano kufeli sasa wanawageuza watz kwenye jambo jingine kabisa ili kuondoa aibu ya kushindwa kwenye propaganda za maandamano.
 
Una haraka ya nini wewe jiandae tu kwenda kumtetea mahakamani hakawiagi kujiliza huyo
Hivi mnatumia ubongo kweli? Tangu 2017 mpaka leo mbona hawajawahi kumfikisha mahakamani? Tumieni akili basi hata kidogo tu mlizopewa na mwenyezi Mungu!
 
Hivi mnatumia ubongo kweli? Tangu 2017 mpaka leo mbona hawajawahi kumfikisha mahakamani? Tumieni akili basi hata kidogo tu mlizopewa na mwenyezi Mungu!
Kesi ya jinai huwa haifai hata ikipita miaka 20
 
Siyo mhalifu bali ni propaganda za kisiasa tu hizo angekuwa ni mhalifu angekuwa magereza. Baada ya maandamano kufeli sasa wanawageuza watz kwenye jambo jingine kabisa ili kuondoa aibu ya kushindwa kwenye propaganda za maandamano.
Magereza yapi haya haya ya bongo muvi.
 
Hapo walikuwa wanatete gay right baada ya makondo kuwashughulikia
Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI
 
Mbona unapenda sana ushoga kila post lazima uutaje
Si ndio Wamarekani walimtuhumu Makonda kwa kuwashughulikia Mashoga hapa TZ au umesahau. Unafikiri haki ya kuishi nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…