Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
KUMEKUCHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ndiye aliyedhamini hiyo show na Makonda ndiye alisimamia sasa usichoelewa nini au kuna siku Lissu alisema Magufuli ndiye alivuta trigger?Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Let's wait and see. Itapita tena miaka mitano akiwa down kisiasa ataibuka tena kuomba sympathy kwamba nilipigwa risasi.The evidence is slowly emerging. Atakwenda sasa akiwa na ushahidi full.
Mbona hata Yesu tunamlilia hadi LeoLet's wait and see. Itapita tena miaka mitano akiwa down kisiasa ataibuka tena kuomba sympathy kwamba nilipigwa risasi.
Hapo walikuwa wanatete gay right baada ya makondo kuwashughulikia
Vipi wako umetulia?Tuliza mshono
Kumbe!Ya maandamano ongelea wewe.....yeye anaongelea yanayomhusu na maisha yake.
Maendeleo kwa nani ?Kwa hiyo tumsaidie nini?
Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
Una haraka ya nini wewe jiandae tu kwenda kumtetea mahakamani hakawiagi kujiliza huyoChuki binafsi tu dhidi ya makonda basi ataje majina ya hao vijana kama kaweza kumtaja kiongozi wao
Siyo mhalifu bali ni propaganda za kisiasa tu hizo angekuwa ni mhalifu angekuwa magereza. Baada ya maandamano kufeli sasa wanawageuza watz kwenye jambo jingine kabisa ili kuondoa aibu ya kushindwa kwenye propaganda za maandamano.Huyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?
Hivi mnatumia ubongo kweli? Tangu 2017 mpaka leo mbona hawajawahi kumfikisha mahakamani? Tumieni akili basi hata kidogo tu mlizopewa na mwenyezi Mungu!Una haraka ya nini wewe jiandae tu kwenda kumtetea mahakamani hakawiagi kujiliza huyo
Kesi ya jinai huwa haifai hata ikipita miaka 20Hivi mnatumia ubongo kweli? Tangu 2017 mpaka leo mbona hawajawahi kumfikisha mahakamani? Tumieni akili basi hata kidogo tu mlizopewa na mwenyezi Mungu!
Magereza yapi haya haya ya bongo muvi.Siyo mhalifu bali ni propaganda za kisiasa tu hizo angekuwa ni mhalifu angekuwa magereza. Baada ya maandamano kufeli sasa wanawageuza watz kwenye jambo jingine kabisa ili kuondoa aibu ya kushindwa kwenye propaganda za maandamano.
Na huyo Paul Makonda bado eti ni mkuu wa mkoa...nchi hii!
Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHIHapo walikuwa wanatete gay right baada ya makondo kuwashughulikia
Haki ya kuishi kishoga au?Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI
Riwa u Riwe 😁😁😁 hizo ni R mbili zilizobaki mtaongezea.4R za Maza inabidi tuzitafutie maana nyingine.
Mbona unapenda sana ushoga kila post lazima uutajeHaki ya kuishi kishoga au?
Si ndio Wamarekani walimtuhumu Makonda kwa kuwashughulikia Mashoga hapa TZ au umesahau. Unafikiri haki ya kuishi nani?Mbona unapenda sana ushoga kila post lazima uutaje