THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Kama ni Bila ushahidi Makonda angeenda Mahakaman akashitaki anachafuliwa jina lake kwanini haendi na hio issue ya kumsema Makonda sio Leo.Huu ujinga ni wa kiwango cha lami, kumtuhumu mtu bila ushahidi ni pumba iliyoje
Mwambieni lissu nobody cares kapigwa risasi ngapi kapigwa na nani wabongo tupo busy kutafuta ugali yani hii kick yake inaonesha tu kaishiwa. Atafute story mpyaWewe chocko, utageuzwa kuwa chocolate ukiendekeza hizi akili mbuzi.
Hujui kitu kwani Makonda alikua katika uongozi wa nani?Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Angekuwa amepigwa mumeo risasi 36 ungesema hivyo?Bado ana weweseka!
Wewe ndo umepagawa kabisaBado ana weweseka!
Imekuchosha ww peke yakoKwa hiyo tumsaidie nini?
Hii story ishatuchosha inabidi aambiwe watanzania do not care atafute ajenda ya namna gani ataleta maendeleo
Kwanini polisi hawajawahi kumhoji Makonda?Kama ni Bila ushahidi Makonda angeenda Mahakaman akashitaki anachafuliwa jina lake kwanini haendi na hio issue ya kumsema Makonda sio Leo.
Aweke hata kaushaidi hapaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Kuna watu hata akijinyea atasema chakula kimemdondokea!ndio kama huyu punguani walikuwepo,wapo,Watakuwepo hadi kiama!Kama ni Bila ushahidi Makonda angeenda Mahakaman akashitaki anachafuliwa jina lake kwanini haendi na hio issue ya kumsema Makonda sio Leo.
Kwani humu watu wanalazimishwa kutoa comments? Au hupendi kuona wengine wanazungumzia kuhusu TL?Kwa hiyo tunaongelea Tindu Lissu tu. Hakuna kitu kingine? Hizo ndo sera za CDM?
Ameongea kama mwanasheria au Mwanasiasa? 🐼Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Yesu misumari mitatu tu kelele na kifo juu,lissu risasi 30 bado yupo kitaa anatia kama kawaidatulia wewe zile risasi ingekuwa wewe ibilisi tulishakusahau
Huwezi kusikia Tlaatlaah na yule chawa mwingine wakisema neno kwenye hiliNa nyie wewesekeni mfikishe mahakamani, Mnaogopa, nini?
Msikilize huyu, ndio utajua, CCM ni wauaji.
View attachment 3106411
Things fall apartMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
Namna nzuri ya kumsaidia...jipige kifua mara 7 ukisema " mimi sinza pazuri ni bumbundaa""🤣🤣🤣Kwa hiyo tumsaidie nini?