Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Ni hatari sana watu wajinga kujihusisha na siasa, hawa hua na kauli mbaya, wachonganishi, wapambe na hutumia mamlaka vibaya kwa kuua na kukamata/kuteka ovyo maana hawana hoja.

Nashauri siasa iwe marufuku kwa watu aina ya Makonda, Msukuma na wengineo hawajui chochote huko wanaharibu Nchi.
 
Kwa huo ufisadi aliofanya na hao wawekezaji asingefunguliwa mashtaka mahakamani na serikali ili makosa yake yathibitike kisheria badala ya kuuawa?
Kwa swali kama hili inaonyesha wewe ujui ufisadi wa kibeberu ...kwanza aliye kuambia mafisadi ya kibeberu yanashitakiwa nchini ni nani ? Kesi ya mtoto wa chui kuipeleka kwa mama chui tena mwenye njaa.
 
Itafahamika tu
 
Moja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.

Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa. Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).

Mungu fundi sana.
 
Chadema akili hamna kama wewe unaweza kubishana hata na lissu pale atakapo sema ukweli ? Mbona lissu anajipendekeza kutaka kwenda kwenye kaburi la jpm kuhiji ....ulishajiuliza way? Lissu anaujua ukweli wote juu ya kupigwa kwake risasi.
Kawaambia serikali ilete wachunguzi huru imekataa sasa wewe unasema nini.
 
Nimeamini usemi unaosema hakuna marefu yasiyo na mwisho.wanaojifanya wasiojulikana watajulikana waziwazi.maana mahakama za huko uingereza Samia hawezi kuwapigia simu majaji kuwapa maelekezo ya kupindisha haki.kama anaubavu ajichanganye kuwapigia majaji wa ulaya aone kesi atakazofunguliwa.
 
Awataje kwa majina hao Watu waliompiga risasi ili tuwajue, asifiche utambulisho wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…