Wamechokoza nyigu.. Sasa wasubiri kuvimbishwa suraMoja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.
Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).
Mungu fundi sana.

Watu sasa wanatajwa waziwazi .. Kuna yule wa mayele
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
View attachment 3106495
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
Pia soma:
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
View attachment 3106568
Maandamono ya juzi yamewashtua haswa aisee

Wanatafuta kiki baada ya maandamano kubuma aiseeKwa hiyo tunaongelea Tindu Lissu tu. Hakuna kitu kingine? Hizo ndo sera za CDM?
Huyu mzee anazeeka vibaya sasa mbona alishasema several times!! Mimi nilitegemea aongelee maandamano yao ya Jumatatu yaliyofeli.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
View attachment 3106495
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
Pia soma:
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
View attachment 3106568
Mpelekeni mahakamani kila siku mnasema tu. Au ndio njia mmeamua kupitia baada ya maandamano yenu uchwara kufeli? 🤣Makonda ni kweli ni mhusika mkuu
Huyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu
View attachment 3106495
"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu
Pia soma:
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu
PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
View attachment 3106568
Ingekuwa Kenya angewataja, lakini Tanzania ni bure kabisa, akiwataja mtawafanya nini? Makonda huyo hapo anajulikana kabla hata hajamtaja leo lakini kila siku mnamfungulia nyuzi za kumsifu na kumuabudu, imefika mahala mnatamani eti awe rais wenu!!Awataje kwa majina hao Watu waliompiga risasi ili tuwajue, asifiche utambulisho wao.
Akahepa mbele ya haki.Nimekumbuka kauli ya Amina Chifupa juu ya kuwataja wauza ngada
Kichwa chako kina ufa mkubwa sana mahali , unaelewa maana ya kutajwa magufuli?hapo kuna muagizaji na mtekelezaji.Huyu Lissu sio wakumuamini,mwanzo alisema magufuli Leo kasema Comred Makonda,huenda huyu jamaa kachanganyikiwa
Issue kama hizo zinahitaji ushahid usio shaka not otherwise.View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.
Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2024.
Ukiwa CCM hakuna hata baya moja litakalo onekana kwako au kwa jamii ni baya ,hiyo ndiyo slogan ya CCM KULINDANA KWENYE UHALIFU, ndiyo maana gari ya mbunge imebeba wahamihaji haramu imegeuzwaHuyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?