Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Moja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.

Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).

Mungu fundi sana.
Wamechokoza nyigu.. Sasa wasubiri kuvimbishwa sura
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam

Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia risasi 36 Dodoma.” - Tundu Lissu

View attachment 3106495

"Shambulio dhidi yangu (shambulio la Tundu Lissu kupigwa risasi) limetokea katikati ya majengo ya serikali wanayokaa Mawaziri, Naibu Spika Tulika akson kwa wakati ule (sasa ni Spika wa Bunge), Waziri Harrison Mwakyembe (aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo), Waziri wa Nishati wa wakati ule yeye alikuwa anakaaa juu na mimi nilikuwa nakaa chini" -Lissu

Pia soma:

- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

"Katika majenho ambayo yana ulinzi na yanakaa wakubwa (viongozi wa juu/waandamizi) eneo hilo lilikuwa sio tu lina ulinzi masaa 24 bali lilikuwa vilevile na kamera za CCTV, na kama mtakumbuka baada ya shamhulio hilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma alikuwa anaitwa 'Mroto' alitangaza kuwa Polisi walikua wamepata ile picha za hiyo CCTV kamera iliyokuwa inatazama ile parking lot ambayo nilikuwa nimeshambuliwa" -Lissu

PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
View attachment 3106568

Watu sasa wanatajwa waziwazi .. Kuna yule wa mayele
 
Maa

Maandamono ya juzi yamewashtua haswa aisee
 
Huyu mzee anazeeka vibaya sasa mbona alishasema several times!! Mimi nilitegemea aongelee maandamano yao ya Jumatatu yaliyofeli.
 
Huyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?
 
Awataje kwa majina hao Watu waliompiga risasi ili tuwajue, asifiche utambulisho wao.
Ingekuwa Kenya angewataja, lakini Tanzania ni bure kabisa, akiwataja mtawafanya nini? Makonda huyo hapo anajulikana kabla hata hajamtaja leo lakini kila siku mnamfungulia nyuzi za kumsifu na kumuabudu, imefika mahala mnatamani eti awe rais wenu!!
 
IMG-20240925-WA0064.jpg

Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2024.
Issue kama hizo zinahitaji ushahid usio shaka not otherwise.
 
Huyo Makonda anaonekana ni Mhalifu sugu, sijui ni kwa nini mtu huyu anaendelea kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa hapa nchini?
Ukiwa CCM hakuna hata baya moja litakalo onekana kwako au kwa jamii ni baya ,hiyo ndiyo slogan ya CCM KULINDANA KWENYE UHALIFU, ndiyo maana gari ya mbunge imebeba wahamihaji haramu imegeuzwa

Na nchi hii haiwezi kwenda mbele kama tukiendelea kubaki na aina hii ya viongozi ndani ya chama
 
Back
Top Bottom