Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Yaani wewe unaamini kabisa Maneno ya Lisu yamfanye Samia kumwondoa Makonda ukuu wa Mkoa?
Lisu alishaongea juu ya Makonda zaidi ya mara tatu huko nyuma kwa hiyo hamna jipya
Lissu amesema ukweli, isipokuwa Makonda analindwa kwa sababu uhalifu aliofanya umeinufaisha Ccm.

Kwa kawaida Vyama vya Siasa ambavyo vimekaa madarakani kwa muda mrefu Sana huwa vina kawaida ya kuunda magenge ya Watu wahalifu, watekaji au wauaji kwa lengo la kuvilinda vyama husika visiweze kuondolewa madarakani baada ya kupoteza ushawishi au baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi. Magenge hayo ya uhalifu yanayoundwa kazi yake kubwa zaidi ni kuendesha Propaganda za Vitisho dhidi ya Watu wanaojaribu kuhoji watawala au wale Watu wanaokosoa watawala.
 
Moja ya maneno yaliyonishutua ni Lissu kusema vijana wawili waliomshambulia kwa risasi wanawajua na watawataja.

Kingine ni pale aliposema siku ile anashambuliwa. Makonda alikuwa Afican Dreams(kama sikose hii ni hoteli iliyoko Dodoma).

Mungu fundi sana.
Shetani Bashite
 
Ingekuwa Kenya angewataja, lakini Tanzania ni bure labisa, akiwataja myawafanya nini? Makonda huyo hapo anajukikana kabla hata hajamtaja leo lakini kila siku mnamfungulia nyuzi za kumsifu na kumuabudu, imefika mahala mnatamani eti awe rais wenu!!
Hata anerica watatushangaa kumchagua mtu mwenye iq ndogo na mpumbavu mkuu wa mkoa wa instagram
 
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Siku ikifika jitokeze kumtetea mahakamani au kama unaona kachafuliwa mshauri aende mahakamani
 
Soma kwa kuelewa, Mtoa mada kasema mpumnzishe, hajasema afungwe jela. Acha mahaba na mtuhumiwa wa kusitisha uhai wa watu wengine
Unajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.

Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
 
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Mboni yeye pia anawawinda? Aliesema Mbowe yupo Arusha ni nani?
 
Unajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.

Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
Umewahi kupigwa hata kisu maishani mwako? Au una jeraha la kupigwa hata na jiwe kwenye mwili wako?
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017

Mwanzo kulikuwa na korabo kati ya lissu na samia. Baada ya lissu kutukana samia, korabo ya samia na makonda ikazaliwa. Makonda hatolewi ng'o....
 
View attachment 3106664
Hata kama ulikuwa unalipa fadhila kwa Makonda baada ya kutaja jina lako pale Dodoma kwenye Bunge Maalum la Katiba, sasa inatosha.

Picha linakuja likimuonyesha moja kwa moja kuwa ni mhusika wa mashambulizi dhidi ya Lissu pale Dodoma mnamo Sep 7, 2017
Nafikiri wajumuishe na ule ujambazi wa Bashite kuvamia clouds na mitutu ya bunduki, huyu domozito ni jangili
 
Kwa swali kama hili inaonyesha wewe ujui ufisadi wa kibeberu ...kwanza aliye kuambia mafisadi ya kibeberu yanashitakiwa nchini ni nani ? Kesi ya mtoto wa chui kuipeleka kwa mama chui tena mwenye njaa.
Nonsense.
 
Back
Top Bottom