John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Lissu amesema ukweli, isipokuwa Makonda analindwa kwa sababu uhalifu aliofanya umeinufaisha Ccm.Yaani wewe unaamini kabisa Maneno ya Lisu yamfanye Samia kumwondoa Makonda ukuu wa Mkoa?
Lisu alishaongea juu ya Makonda zaidi ya mara tatu huko nyuma kwa hiyo hamna jipya
Kwa kawaida Vyama vya Siasa ambavyo vimekaa madarakani kwa muda mrefu Sana huwa vina kawaida ya kuunda magenge ya Watu wahalifu, watekaji au wauaji kwa lengo la kuvilinda vyama husika visiweze kuondolewa madarakani baada ya kupoteza ushawishi au baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi. Magenge hayo ya uhalifu yanayoundwa kazi yake kubwa zaidi ni kuendesha Propaganda za Vitisho dhidi ya Watu wanaojaribu kuhoji watawala au wale Watu wanaokosoa watawala.