Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Makasirikoamekua nani nchi hii, si ameshapona aende sasa akafungue kesi sio analia lia tu kama mtoto mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makasirikoamekua nani nchi hii, si ameshapona aende sasa akafungue kesi sio analia lia tu kama mtoto mdogo
Umezaliwa kupika uongo.Kuzuiliwa Makonda kwenda USA atazamwe sana Mange Kimambi.
Khoja hujibowa kwa hoja siyo kwa vijimaneno . Badala ya kujibu hoja wewe unaififisha kwa vijimaneno . Kichwa majiBado ana weweseka!
Kama Mungu alivyomuumbua Magufuli aliyesema matajiri wataishi kama maskini, na kwamba Dar wataishi wanaume wa kweli na wengine watarudi mikoani ndani ya miezi 6 alipoapishwa. Hatimaye akasepeshwa yeye mwaka 2021. Basi naye Makonda iko siku yake ya aibishwa kama MagufuliMakonda sehemu anapostahili kuwa ni gerezani akisubiria utekelezaji wa hukumu ya kunyongwa hadi afe.
Na siku hiyo haiko mbali sana,kamwe Mungu hadhihakiwi.Kama Mungu alivyomuumbua Magufuli aliyesema matajiri wataishi kama maskini, na kwamba Dar wataishi wanaume wa kweli na wengine watarudi mikoani ndani ya miezi 6 alipoapishwa. Hatimaye akasepeshwa yeye mwaka 2021. Basi naye Makonda iko siku yake ya aibishwa kama Magufuli
Kichwa maji anapojifanya mjuaji naye hakujibu hoja vile vile!Khoja hujibowa kwa hoja siyo kwa vijimaneno . Badala ya kujibu hoja wewe unaififisha kwa vijimaneno . Kichwa maji
Khoja hujibowa kwa hoja siyo kwa vijimaneno . Badala ya kujibu hoja wewe unaififisha kwa vijimaneno . Kichwa maji
Heshima sana wanajamvi.
Mheshimiwa Lissu amekuwa akitoa tuhuma nzito za ushiriki wa Mheshimiwa Makonda katika lile shambulizi la Dodoma.
Mpaka hivi majuzi nilikuwa nikiamini kabisa tuhuma za Mheshimiwa Lissu dhidi ya Mheshimiwa Makonda.
Nilikuwa nikimshangaa sana Rais Samia kumteua Mheshimiwa Makonda katika nafasi mbali mbali.Sasa naanza kupata mwanga kwa mbali uenda tuhuma hizo ni propaganda za Lissu.
Sikatai moja kwa moja kwamba alihusika lakini pia sikubali moja kwa moja kwamba hakuhusika.
Ngongo kwasasa Kizimkazi.
Tabia za Lissu za kutoa tuhuma dhidi ya mahasimu wake kwa faida za kisiasa zimekuwa sehemu ya utaratibu wake.Walihusika Ufipa st
Alikuwa Kidongo chekundu mnazi mmoja 😂😂Makonda alikuwa wapi siku ripoti ya Makinikia inasomwa??
Hili swali halijawahi kujibiwa vizuri.
Safari ndefu sanaaa......Heshima sana wanajamvi.
Mheshimiwa Lissu amekuwa akitoa tuhuma nzito za ushiriki wa Mheshimiwa Makonda katika lile shambulizi la Dodoma.
Mpaka hivi majuzi nilikuwa nikiamini kabisa tuhuma za Mheshimiwa Lissu dhidi ya Mheshimiwa Makonda.
Nilikuwa nikimshangaa sana Rais Samia kumteua Mheshimiwa Makonda katika nafasi mbali mbali.Sasa naanza kupata mwanga kwa mbali uenda tuhuma hizo ni propaganda za Lissu.
Sikatai moja kwa moja kwamba alihusika lakini pia sikubali moja kwa moja kwamba hakuhusika.
Ngongo kwasasa Kizimkazi.
Lile Shambulioo ni inside Job kama ajali ya Chacha 🐼Tabia za Lissu za kutoa tuhuma dhidi ya mahasimu wake kwa faida za kisiasa zimekuwa sehemu ya utaratibu wake.
Aliwahi kudai eti zimekutwa fedha nyingi nyumbani kwa Late Magufuli.Akiambiwa leo kama ana ushahidi atabaki kukodoa macho.
Sijui lakini nimeweka angalizo sina uhakika 100% na hizo tuhuma.Makonda alikuwa wapi siku ripoti ya Makinikia inasomwa??
Hili swali halijawahi kujibiwa vizuri.
Ila unakubali ulikuwa mpango wa watu ndani ya "system" ?Sijui lakini nimeweka angalizo sina uhakika 100% na hizo tuhuma.
Labda niweke hivi 50% - 50% yaweza kuwa kweli au si kweli.
Yes 100%Ila unakubali ulikuwa mpango wa watu ndani ya "system" ?