Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Lile Shambulioo ni inside Job kama ajali ya Chacha 🐼
Camera ktk nyumba za serekali zikanyofolewa baada ya tukio !.

Walinzi wakaibdolewa ktk nyumba za serekali.

Punguza uropokaji,hata mgambo wa kijiji hawezi kuwa mjinga wa kiwango chako.
 
Ni Kwa sababu humjui Mwenyekiti wako, bado mtoto mdogo wewe

Rais Samia: Askari wetu hawakosei shabaha
 
Back
Top Bottom