PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilicho kiona apa serikali ilijipanga kumkamata ila haikujipanga kwny namna gani itajisimimamia kwny hilo la kumkamata
Hii ni aibu kwa kile kibibi kizee cha pemba chenye sura pana
Hivi ndivyo mambo mengi serikali hufanya. Haina watu wa kutazama mambo kwa kina wakitumia akili kubwa
 
duh, hivi huyu jamaa "soka" ndo kapotea kweli kimasihara hivi hivi aisee
Jeshi la Polisi linasema linaendelea kufanya uchunguzi, sasa swali la kujiuliza ni kwamba unawezaje kujichunguza wakati rogue cops ndio waandamizi wenyewe.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jeshi la Polisi linasema linaendelea kufanya uchunguzi, sasa swali la kujiuliza ni kwamba unawezaje kujichunguza wakati rogue cops ndio waandamizi wenyewe.
vijana wa kitaa wanasema "hii imeenda" mkuu. % za kuja kupata positive outcome ni chache sana
 
Nilicho kiona apa serikali ilijipanga kumkamata ila haikujipanga kwny namna gani itajisimimamia kwny hilo la kumkamata
Hii ni aibu kwa kile kibibi kizee cha pemba chenye sura pana
lissu kagoma dunia isisikilize mwenendo wa kesi yake, anaona dunia itajua ukweli wa jambo, anataka isililizwe kimyakimya ili wafuasi wake wawe kama walinzi wa kaburi la yesu watoke mbio kwenda kuwapotosha wananchi
 
naam naam, imagine boss wa TRC anawajibu viongozi wa dini -- haya ni mambo ya ajabu sana
Kwa hiyo mkuu ukiona hawa watu na suti zao na tai usiwachukulie kama Great Thinkers wa nchi. Hakuna watu pale, ni watu wenye uwezo wa kawaida sana vichwani
 
Ufungwe tu ule, kufungua akaunti nyingine vipengele vingi,michosho
au unataka yenye bluetick, hizi za kawaida tu unacreate chap tu, unakosaje account mkuu world politics ipo kule mkuu-- mkoloni ametukamata kwelikweli
 
au unataka yenye bluetick, hizi za kawaida tu unacreate chap tu, unakosaje account mkuu world politics ipo kule mkuu-- mkoloni ametukamata kwelikweli
Dah,mara onesha chumba kisichokua na pikipiki,onyesha vyumba vyenye miguu
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…