PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni lazima tuwe tayari kulipa gharama kubwa kupambana na wakoloni weusi; vinginenyo, watatumaliza.
Nakubaliana na wewe; hawa tayari wanachokisubiri ni hicho hicho, hakuna kingine kitakacho badili uamzi wao wa kututawala kwa nguvu.
 
..kesi ya uhaini ni too sensitive kuiendesha kwa mtandao.

..mashahidi wanatakiwa wahojiwe kwa uwazi na Jaji na mawakili wawaone physically ili hukumu ya haki iweze kutendeka.

..pia maoni ya mshitakiwa yanapaswa kuzingatiwa. Kama mshitakiwa anapendelea mahakama ya wazi basi Jaji anapaswa kuyapa uzito maoni hayo.
 
Chadema mnadili na watu wenye akili kubwa sana kuwazidi. Mnakopita wenzenu walipafikiria mda sana kabla ya kumkamata huyo mtu wenu. Walijua kabisa akiambiwa kesi isikilizwe onlina atakataa na hiyo niwape siri tu. It a delaying technique. Hakuna mtu atamfunga lissu, hakuna mtu atamnyonga lissu. Ila uchaguzi ukiisha lissu atatudi uraiani huku lesi inapigwa tarehe
 
Analeta vioja tu

Unakataaje chombo kinacho tambuliwa na mahakama kisheria kama sio kutaka cheap publicity.


Wamwache rumande, vyuma vikikaza vizuri, ataomba poo

========

Utasikia anagoma kula ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
he he
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ