PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hebu itaje hiyo sheria inayoongoza hayo mambo ya mahakama mtandao!
Mahakama mtandao ni sawa na kurekodi kesi na kuirusha live kwenye TV sasa kwa nini Lisu agome kuwa isirushwe live?

Kifupi anachokataa Lisu kama hujui ni.kuwa hataki kesi yake irushwe live kwa ufupi kama hujui kesi mtandao ni kitu gani kutokana na elimu duni uliyonayo

Hataki irushwe live anaogopa nini?

Mahakama isikubali kuyumbishwa naye.Iendeshwe live
 
Sasa Lisu anagoma nini kuendeshwa kwa uwazi Tanzania wakati huo huo hupongeza kenya kuendesha kesi kwa uwazi

Kwa nini atake kesi yake isiendeshwe kwa uwazi?

Kwani Kenya wanafanyia kesi mtandaoni?

Waipeleke kesi mahakani halafu waibroad cast mtandaoni na kwenye Tv. Samia anaogopa nini kesi kusikilizwa maharani?
 
HAWA WT NI 0 BRAIN
 
Kumbe
Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Wewe ni zuzu tu unaye hangaika kutafuta ugali na ndo maana upo tayar CCM wakuhonge khanga, fulana, kofia na elf 5 upate hela ya ugali. Kwa hali ulonao hutakiwa kusema lolote kuhusu HAKI NA UHURU WA MTANZANIA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…