Nyie machawa hua mnadhi sana, sasa kama watu hawapo hao mapolis kila kona yamji mnaweka kumtisha nanAlalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
watu intelligent hawawazi matumbo wanawaza kuishi kwa ajili ya wengine...wewe kaa na ubinafsi wako wa buku 2Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
HahahIone nini. Wewe uliposikia mahakama mtandao unadhani ni uonyeshwaji live wa kesi?
😳😳
Watu wa CCM sijui mkoje!?
Uwakili wa mfukoni kama dalali wa kimazichanaNi Wakili ama si Wakili?
Unaelewa lakini kesi za Guatanamo zinavyoendeshwa? 😂😂
Mahakama mtandao ni sawa na kurekodi kesi na kuirusha live kwenye TV sasa kwa nini Lisu agome kuwa isirushwe live?
Kifupi anachokataa Lisu kama hujui ni.kuwa hataki kesi yake irushwe live kwa ufupi kama hujui kesi mtandao ni kitu gani kutokana na elimu duni uliyonayo
Hataki irushwe live anaogopa nini?
Mahakama isikubali kuyumbishwa naye.Iendeshwe live
Watu walipikwenda kumsalimu tu mlisema mwisho watatu. Sasa unataka Kila mtu anayemuunga mkono Lissu awe gerezani ili iweje?mtieni ujinga huku mmelala nyumbani kwenu
Patamu hapohataki dunia ione akihojiwa anataka kupika nini?
Hata Samia hayo anayoyafanya anayafanya kwasababu ya kutaka urais ili asipate ushindani kwahiyo hakuna jipya. Ccm muaoga sana hamna ajenda hata moja aya kushindana na Lissu bila ya kutumia hawo mbwa.Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Kwa akili yako ndogo unadhani kuwa na jengo zuri la ofisi ndio kuwa wakili mzuri. Ofisi haijengi hoja, hoja zipo kichwani.Lissu hamna ni tu, hana hata ofisi
Keshagoma sasa na vimtandao vyenu ambavyo hata watu 1000 tu haviwezi kuwaunga, mnajitutumua na vitech wkt hata kuvijua tu bado, mnakariri sanaakajinyonge mwenyewe hakuna mwenye haja na shingo yake wala uropokaji na ubishi wake,
thats useles na nonsense kabisa
Si nawe utapata nafasi ya kuifuatiliaEti kesi ya mtandao 😁😁😁 lissu akili kubwa sana
Sasa mlikua na haja gani ya kujaza polisi Dar nzima kama kesi inasikilizwa kwa mtandao.Umma una access na mtandao, hata kwenu mchambawima mtu anafuatilia kesi
Wala hajali, hata ingekuwa miaka 14, atalala kwa ajili ya mabadiliko. Ww hutakiwi kuja, sisi ambao chakula kwetu sio issue tupo hapa.Alalemo 14 nyingine, kwa akili sake anaamini kisutu ina mafuriko ya watu, aaaahh wapi, yaani tuache kutafutia watoto ugali tuangaikie mnyaturu anayependa urais
Mtu anaweza kuwa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Kwa uwakili wa mfukoni?Uwakili wa mfukoni kama dalali wa kimazichana
Mambo ya kijinga sana haya. Wanaogopa nini kumpeleka mahakamani, na wakati wamemkamata na kumshtaki wao wenyewe?Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza
View attachment 3313918
CCM Serikali yao wana weweseka na Tundu Lissu. Walishindwa kumwua Bungeni Dodoma kwa risasi 16!!HUyu ndo lissu aisee🤣🤣
Hadi hapo dunia inajua Samia anataka kumfanya nini Lissu.hataki dunia ione akihojiwa anataka kupika nini?
May 30 karibu, waahirishe hadi 2050.inaahirishwa hadi may 30