Wakenya mnavyojifanya wazungu,Kenya Kuna uchawi ambao ni sophisticated dada,mfano wakamba Wana uchawi unaoitwa "kamote" yaani akikunyooshea kijiti,unakauka instantly! Kisii wanao unaoitwa "kabhabha" yaani huo unavuka hadi bahari. Kenya Kuna uchawi hata Tanzania hakuna, huenda baadhi ya Wtz wenzangu hawajui uchawi mlionao,ndio maana kutwa kucha mnapiga kelele.mm nawajua wakenya vizuri mlivyo wa hivyo.Kamroge, mbona tz wachawi tele..unaumia nini na wakati wazee wa tawire nambari moja kabisa duniani hko wapo..
Kwa hiyo wewe missile of the Ufipa..huamini kuwa magu kafanikiwa kwenye corona au?mana inaonekana unawazungumizia watz wanaomuunga mkono magu kwenye suala la corona..je ww humuungi mkono au? Tupe msimamo wako bwana mdogo unaejiita missileAwe makini kuhusu maswali ya mtego kuhusu Korona.
Wakenya wanataka kumtumia Lissu kipropaganda kuhusu ishu ya Korona ili ionekane sisi Watanzania tumefanya ujinga tulivyopambana na Korona halafu wao Wakenya eti wamefanya vyema na malockdown yao.
Lissu akumbuke tu wapiga kura wake watarajiwa yaani Watanzania wanamuunga mkono sana Magufuli kwenye ishu ya kutoweka lockdown, kwa hiyo asiwape Wakenya wanachotaka yaani "endorsement" kutoka ndani ya Tanzania kwa jinsi wao walivyodeal na Korona. Maana sasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania!.
Swali la Korona inabidi Lissu alijibu kisiasa, ila akijaribu kuiponda approach ya Magufuli alivyohandle hilo suala atapoteza uungwaji mkono nchini. Magufuli alifanikiwa kuvurugavuruga vyanzo vya taarifa rasmi kuhusu Korona, kisha akapiga propaganda kubwa sana kuwa tumeidhibiti Korona kiasi kwamba sehemu kubwa ya umma inakubaliana naye. Kwa hiyo inahitaji akili ya ziada kucrash sehemu kubwa ya approach ya Magufuli katika mapambano dhidi ya Korona
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Tanzania mko level nyingine bana, mnavunjiana nazi milangoni mpka sasa..Wakenya mnavyojifanya wazungu,Kenya Kuna uchawi ambao ni sophisticated dada,mfano wakamba Wana uchawi unaoitwa "kamote" yaani akikunyooshea kijiti,unakika instantly! Kisii wanao unaoitwa "kabhabha" yaani huo unavuka hadi bahari. Kenya Kuna uchawi hata Tanzania hakuna, huenda baadhi ya Wtz wenzangu hawajui uchawi mlionao,ndio maana kutwa kucha mnapiga kelele.mm nawajua wakenya vizuri mlivyo wa hivyo.
What a question? Kabisaaaa umeuliza hili swaliYaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
J. Pombe is a very uncouth and uncivilized kind of creature. I still don't get it how he managed to clinch the top seat in this country. He needs to be put in a cage in the zoos of Chattle.JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Safi sana. Acha wazibane media za bongo kumpa airtime Lissu ila Mungu anavyompenda Lissu anazidi kumpa airtime sehemu nyingine na spana zinafika hadi Tanzania
Asante magundu, kubana uhuru was habari Ni kipimo tosha kwamba hukubaliki, hupendwi na wewe sio chaguo la MunguSafi sana. Acha wazibane media za bongo kumpa airtime Lissu ila Mungu anavyompenda Lissu anazidi kumpa airtime sehemu nyingine na spana zinafika hadi Tanzania
Kwa anavyotumia vyombo vyake kumfitini Lissu ni kampeni tosha kwa Lissu. Ajipange tu kwenda Chato baada ya uchaguzi mkuu mwaka huu!!Asante magundu, kubana uhuru was habari Ni kipimo tosha kwamba hukubaliki, hupendwi na wewe sio chaguo la Mungu
Nami nimetaka kusema kitu hiki nadhani anahangaika na hadhira asiye sahihi. Lengo lao kubwa ni kuwadanganga jumuiya za kimataifa ili oktoba waseme wameibiwa kura.Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Watu wengine, ndio maana hata darasani lazima wa mwisho awepo.Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Kwani mtashindaje bila wizi.Nami nimetaka kusema kitu hiki nadhani anahangaika na hadhira asiye sahihi. Lengo lao kubwa ni kuwadanganga jumuiya za kimataifa ili oktoba waseme wameibiwa kura.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mnashiriki uchaguzi kwa nini kama mnajua mtaibiwa kura.Kwani mtashindaje bila wizi.
sasa vyombo vya habari vya tz si vinaongozwa na magufuli. haviko huru. unataka aongelee wapiYaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Achana nae bado anatafuta mabeberu.Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Lazima CDM waelewe HAKUNA kitu kitaitwa rais Lissu wa JMT! Hili payukaji linazurura likiwa na cheo Cha makamu mwenyekiti wa Mbowe eti awe rais na salum Mwalimu? Vichekesho hivi.Awe makini kuhusu maswali ya mtego kuhusu Korona.
Wakenya wanataka kumtumia Lissu kipropaganda kuhusu ishu ya Korona ili ionekane sisi Watanzania tumefanya ujinga tulivyopambana na Korona halafu wao Wakenya eti wamefanya vyema na malockdown yao.
Lissu akumbuke tu wapiga kura wake watarajiwa yaani Watanzania wanamuunga mkono sana Magufuli kwenye ishu ya kutoweka lockdown, kwa hiyo asiwape Wakenya wanachotaka yaani "endorsement" kutoka ndani ya Tanzania kwa jinsi wao walivyodeal na Korona. Maana sasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania!.
Swali la Korona inabidi Lissu alijibu kisiasa, ila akijaribu kuiponda approach ya Magufuli alivyohandle hilo suala atapoteza uungwaji mkono nchini. Magufuli alifanikiwa kuvurugavuruga vyanzo vya taarifa rasmi kuhusu Korona, kisha akapiga propaganda kubwa sana kuwa tumeidhibiti Korona kiasi kwamba sehemu kubwa ya umma inakubaliana naye. Kwa hiyo inahitaji akili ya ziada kucrash sehemu kubwa ya approach ya Magufuli katika mapambano dhidi ya Korona
Nyinyi si mlikazwa msimchangie damuAtaingia tu mtego wa nyang'au; manaake jamaa alivyo limbukeni anajisifia kuwa ana damu ya wakenya, duh.