Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Kamroge, mbona tz wachawi tele..unaumia nini na wakati wazee wa tawire nambari moja kabisa duniani hko wapo..
Wakenya mnavyojifanya wazungu,Kenya Kuna uchawi ambao ni sophisticated dada,mfano wakamba Wana uchawi unaoitwa "kamote" yaani akikunyooshea kijiti,unakauka instantly! Kisii wanao unaoitwa "kabhabha" yaani huo unavuka hadi bahari. Kenya Kuna uchawi hata Tanzania hakuna, huenda baadhi ya Wtz wenzangu hawajui uchawi mlionao,ndio maana kutwa kucha mnapiga kelele.mm nawajua wakenya vizuri mlivyo wa hivyo.
 
What's wrong with CCM?

Here in Kenya a senator tells the president - in so many words - to fvck off in a press conference and he is still talking to the media at will

What is this irrational fear obsession CCM has with the media?
 
Awe makini kuhusu maswali ya mtego kuhusu Korona.

Wakenya wanataka kumtumia Lissu kipropaganda kuhusu ishu ya Korona ili ionekane sisi Watanzania tumefanya ujinga tulivyopambana na Korona halafu wao Wakenya eti wamefanya vyema na malockdown yao.

Lissu akumbuke tu wapiga kura wake watarajiwa yaani Watanzania wanamuunga mkono sana Magufuli kwenye ishu ya kutoweka lockdown, kwa hiyo asiwape Wakenya wanachotaka yaani "endorsement" kutoka ndani ya Tanzania kwa jinsi wao walivyodeal na Korona. Maana sasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania!.

Swali la Korona inabidi Lissu alijibu kisiasa, ila akijaribu kuiponda approach ya Magufuli alivyohandle hilo suala atapoteza uungwaji mkono nchini. Magufuli alifanikiwa kuvurugavuruga vyanzo vya taarifa rasmi kuhusu Korona, kisha akapiga propaganda kubwa sana kuwa tumeidhibiti Korona kiasi kwamba sehemu kubwa ya umma inakubaliana naye. Kwa hiyo inahitaji akili ya ziada kucrash sehemu kubwa ya approach ya Magufuli katika mapambano dhidi ya Korona
Kwa hiyo wewe missile of the Ufipa..huamini kuwa magu kafanikiwa kwenye corona au?mana inaonekana unawazungumizia watz wanaomuunga mkono magu kwenye suala la corona..je ww humuungi mkono au? Tupe msimamo wako bwana mdogo unaejiita missile
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!

Sasa Tanzania hakuna redio inaweza kutoa taarifa zake, hata ukiingia kwenye page za media wamefuta kila kitu kinachohusiana na yy

I think anatakiwa kutafuta means nyingine ya yy kusikika
 
Wakenya mnavyojifanya wazungu,Kenya Kuna uchawi ambao ni sophisticated dada,mfano wakamba Wana uchawi unaoitwa "kamote" yaani akikunyooshea kijiti,unakika instantly! Kisii wanao unaoitwa "kabhabha" yaani huo unavuka hadi bahari. Kenya Kuna uchawi hata Tanzania hakuna, huenda baadhi ya Wtz wenzangu hawajui uchawi mlionao,ndio maana kutwa kucha mnapiga kelele.mm nawajua wakenya vizuri mlivyo wa hivyo.
Tanzania mko level nyingine bana, mnavunjiana nazi milangoni mpka sasa..
Dar ndio the most developed city in tz na bado watu wanarogana..noma sana

Mastaa nao hawajaachwa nyuma, ni mwendo wa kurogana..viongozi serekalini we acha2
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
What a question? Kabisaaaa umeuliza hili swali
Kwani unaishi wapi?
Mlitaka akaongelee wapi wakati mnajua vyombo vya habari vimezuiliwa kufanya matangazo yake?
Wakenya waliokoa maisha yake kwa nini asirudi kuwashukuru
Mnakera mnajua dah
 
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
J. Pombe is a very uncouth and uncivilized kind of creature. I still don't get it how he managed to clinch the top seat in this country. He needs to be put in a cage in the zoos of Chattle.
 
Mie nafurahi sana lissu anavyohangaika kutumika na wakenya
Tutatumia tu maneno yake kumgeuzia kibao
Amalize redio zote za kenya
 
Ila ni ujinga kuziba au kuzikataza media nyingine kuripoti matukio wakati njia za kuwasiliana zipo nyingi sana sana
 
Safi sana. Acha wazibane media za bongo kumpa airtime Lissu ila Mungu anavyompenda Lissu anazidi kumpa airtime sehemu nyingine na spana zinafika hadi Tanzania
Asante magundu, kubana uhuru was habari Ni kipimo tosha kwamba hukubaliki, hupendwi na wewe sio chaguo la Mungu
 
Asante magundu, kubana uhuru was habari Ni kipimo tosha kwamba hukubaliki, hupendwi na wewe sio chaguo la Mungu
Kwa anavyotumia vyombo vyake kumfitini Lissu ni kampeni tosha kwa Lissu. Ajipange tu kwenda Chato baada ya uchaguzi mkuu mwaka huu!!
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Nami nimetaka kusema kitu hiki nadhani anahangaika na hadhira asiye sahihi. Lengo lao kubwa ni kuwadanganga jumuiya za kimataifa ili oktoba waseme wameibiwa kura.
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Watu wengine, ndio maana hata darasani lazima wa mwisho awepo.

Ameshasema vyombo vya habari vya nchi hii haviruhusiwi kumhoji wala kuandika habari za upinzani sasa wewe hapo unataka afanye nini.

Watu wengine ni useless kabisa kila wakati wao wanawaza ubishi tu tena wa kijinga kabisa. Very hopeless.
 
Nami nimetaka kusema kitu hiki nadhani anahangaika na hadhira asiye sahihi. Lengo lao kubwa ni kuwadanganga jumuiya za kimataifa ili oktoba waseme wameibiwa kura.
Kwani mtashindaje bila wizi.
 
Awe makini kuhusu maswali ya mtego kuhusu Korona.

Wakenya wanataka kumtumia Lissu kipropaganda kuhusu ishu ya Korona ili ionekane sisi Watanzania tumefanya ujinga tulivyopambana na Korona halafu wao Wakenya eti wamefanya vyema na malockdown yao.

Lissu akumbuke tu wapiga kura wake watarajiwa yaani Watanzania wanamuunga mkono sana Magufuli kwenye ishu ya kutoweka lockdown, kwa hiyo asiwape Wakenya wanachotaka yaani "endorsement" kutoka ndani ya Tanzania kwa jinsi wao walivyodeal na Korona. Maana sasa hivi ndani ya Kenya kuna public pressure ya kutaka Kenya ifanye kama Tanzania!.

Swali la Korona inabidi Lissu alijibu kisiasa, ila akijaribu kuiponda approach ya Magufuli alivyohandle hilo suala atapoteza uungwaji mkono nchini. Magufuli alifanikiwa kuvurugavuruga vyanzo vya taarifa rasmi kuhusu Korona, kisha akapiga propaganda kubwa sana kuwa tumeidhibiti Korona kiasi kwamba sehemu kubwa ya umma inakubaliana naye. Kwa hiyo inahitaji akili ya ziada kucrash sehemu kubwa ya approach ya Magufuli katika mapambano dhidi ya Korona
Lazima CDM waelewe HAKUNA kitu kitaitwa rais Lissu wa JMT! Hili payukaji linazurura likiwa na cheo Cha makamu mwenyekiti wa Mbowe eti awe rais na salum Mwalimu? Vichekesho hivi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom