Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Wakenya mnavyojifanya wazungu,Kenya Kuna uchawi ambao ni sophisticated dada,mfano wakamba Wana uchawi unaoitwa "kamote" yaani akikunyooshea kijiti,unakauka instantly! Kisii wanao unaoitwa "kabhabha" yaani huo unavuka hadi bahari. Kenya Kuna uchawi hata Tanzania hakuna, huenda baadhi ya Wtz wenzangu hawajui uchawi mlionao,ndio maana kutwa kucha mnapiga kelele.mm nawajua wakenya vizuri mlivyo wa hivyo.Kamroge, mbona tz wachawi tele..unaumia nini na wakati wazee wa tawire nambari moja kabisa duniani hko wapo..