Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Soma na hii ili ukashtaki TRA,TUME, MSAJILI, POLISI na Magufuli wako.Wewe mbwiga Chadema wanahubiri kufuta kodi kwenye sera zao, iweje waanze utafiti leo?
Wanadanganya wananchi?!!
Halafu why Jamii forum inatoa mwanya kwa mtu kama huyu kila siku anaandika threads ambazo ni hopeless everyday na ambazo hazijengi critical thinking ya mtu zaidi ya kumpotezea uwezo wa kufikiri sawasawa?Tatizo la huyu mpuuzi toka Lumumba hajawahi fanya Biashara yoyote ndo maana anaona mtu kuhoji mambo ya Kodi/TRA kwake ni kosa la jinai!!
Pambaf zake!
Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!Halafu why Jamii forum inatoa mwanya kwa mtu kama huyu kila siku anaandika threads ambazo ni hopeless everyday na ambazo hazijengi critical thinking ya mtu zaidi ya kumpotezea uwezo wa kufikiri sawasawa?
Anajua tu sema ni kazi yake sasa atafanyaje?? Kuna watu wana kazi ngumu moja wapo ni hii ya kuwa idiot...[emoji23][emoji23][emoji23] sijui sasa kama wameongezewa zaidi ya buku 7Unajua Jo umejaa upumbavu mwingi sana halafu wala huoni aibu kuonesha kiwango chako cha upumbavu
Exactly! Jamii forum inaonekana wanapenda ku entertain upuuzi,Binadamu yeyote akikosa akili na utashi anakuwa hana tofauti na wanyama,na ndivyo vitu pekee Mungu alivyoviumba kututofautisha na viumbe wengine-Na ndiyo maana akasema mwanadamu atatawala wanyama na vinginevyo akiamini ametupa akili na utashi.Mtu ukikosa akili na utashi lazima utawaliwe hamna namna-Haiwezekan mtu unaambiwa kitambulisho cha machinga kinaombea mkopo alafu unakubali na kushabikia bila mang'amuzi yoyote kuhusu ukweli na uhalisia.Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!
Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!
Hawa jamaa for years wametuona sisi kama makanjanja,This time tutaelewana tuKila mtu ni wajibu wake kulipa Kodi na wajibu wa kiongozi ni kutotumia vibaya Kodi zetu pa sipo tija mfano manunuzi ya waunga juhudi,marejeo ya chaguzi,kukandamizia demokrasia.
Dah we jamaaa inaonekana kula yako ni kukaa nyuma ya keyboard na kuandkka upuuz dizaini yoyote ilimradi maboss wako wafurahi. Sasa hapa umeandika nn baada ya mimi kukupa factsMaoni ya mhariri!
Hata chama tawala wako madarakani miaka mingi sana ila kuna barabara zinatolewa amri kujengwa mpk raisi akipita kwenye kampeni. Nadhani ushamba huu utakua wa next levelNi sehemu ya ushamba tu kwa sababu yuko Bungeni kwa muda mrefu. Maswali yake alistahili kuyauliza siku nyingi bungeni na hata kuwaelimisha jimboni ambako alikuwa ni mbunge.
Kwaiyo hoja yako ni ipi?Kufikili = Kufikiri