Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Nadhani Lissu aache tit for tat, hazimsaidii

Watanzania hawapendi arrogance/much know.

Angeweza kupeleka maoni yake kwa mwaanasheria wa chama, kisha Chama kikatoa statement, siyo yeye kuingia front na kuanza malumbano

Lissu ajue kuwa yeye sasa ni potential president inabidi aact presidentially, siyo kama mere activist.

Siyo lazima aseme kila kitu!
Tumekaa kikondoo miaka 5, alikuwa anatamba mtu mmoja tu, acha atoe nyongo
 
Mkuu hakuna Daiwa inayoingia wala kutoka, this is too much, ikiwa utaendelea hivi, atakuwa ana erode popularity yake. Huu ni wakati wa kutulia, kutafakari na kuzidisha juhudi. Aache kiburi na ajaribu kuvuna kura za wengi wasio chadema.
Ukondoo, Kenya tu huwezi kukuta watu waoga kama wewe.
 
Tatizo huyu sumu ya risasi haijaisha kichwani. Ni mropokaji asiyejua kuwa ana mapingufu makubwa katika Tasnia ya sheria. Alituaminisha Serikali kuibana Barrick Gold tumebugi kumbe yeye ndie kilaza. Ubunge wake pia chali mahakamani. Anadhani anajua kila sheria na kiranja wa sheria nchini asichokijua sheria na siasa ni vitu viwili tofauti. Siasa ni mchezo wa kuviziana mno
Nilidhani utapinga kwa hoja ya kisheria, kumbe huna
 
Huyu mtu naumia sana mimi kuwa hapo alipo,hafai kabisa hata kwa bure,in mpuuzi sana
 
Well, two wrong doesn't make right!
As a candidate aanze kuwa na mahusiano mazuri na kila mtu, aache mipasho.
Uwe na mahusiano mazuri na nani, tume ya uchaguzi ambayo kiongozi wake ni mgombea wa CCM, unaota wewe
 
Ameshakujibu Lisu
Wanapenda kufanya vitu bila kufikiria ngoja lumumba watumie propaganda na mnajua akili za watanzania ni ndogo kuaminishwa uongo, mwisho mnaonekana watu wa fujo. Sijaona umuhimu wakuongeza bet kwenye wimbo wataifa
 
Lisu anatafuta media attention kwa gharama yoyote ashikwe apigwe virungu anawinda media attention by Force unfortunately media wameshali note hilo wameamua kuachana naye ili wasiwe part ya wendawazimu wake
Umpige virungu, sheria gani inasema ukipingwa upige watu virungu. Mmezoea maisha ya lawlessness ndio maana hata maongezi yenu yanaashiria lawlessness
 
Kanuni ya adhabu inatamka ni matatizo gani mtu atayapata kwa kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa? Ni vema tukapata elimu ya Uraia katika hili mkuu
Sio swala la kanuni ni common sense ni Kama kutania wimbo wa taifa hivi.
 
Tukio la risasi ni muhimu sana. Tunakuwaje na serikali isiyoweza kulinda raia wake
Pale wanapanga kumtoa dikteta na kumleta mkurupukaji. Lissu atulie bado hajawa rais akiguswa kidogo tu atakimbilia tukio la risasi
 
Back
Top Bottom