Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Lisu kwisha habari yake kabla hata ya uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hasira nao, mwacheni atoe nyongo. Ni afya kufanya hivyo..Mutungi ameyakuza.
..but, I see your point kuwaTL angeweza kumdharau na kuacha kumjibu.
Tumekaa kikondoo miaka 5, alikuwa anatamba mtu mmoja tu, acha atoe nyongoNadhani Lissu aache tit for tat, hazimsaidii
Watanzania hawapendi arrogance/much know.
Angeweza kupeleka maoni yake kwa mwaanasheria wa chama, kisha Chama kikatoa statement, siyo yeye kuingia front na kuanza malumbano
Lissu ajue kuwa yeye sasa ni potential president inabidi aact presidentially, siyo kama mere activist.
Siyo lazima aseme kila kitu!
Wamezoea ukondoo haoWamefanya kosa gani kuimba? Mbona mnashabikia ukandamizaji na kufumbwa midomo?
Vv
Ukondoo, Kenya tu huwezi kukuta watu waoga kama wewe.Mkuu hakuna Daiwa inayoingia wala kutoka, this is too much, ikiwa utaendelea hivi, atakuwa ana erode popularity yake. Huu ni wakati wa kutulia, kutafakari na kuzidisha juhudi. Aache kiburi na ajaribu kuvuna kura za wengi wasio chadema.
Ameshakujibu LisuCDM na nyie acheni ujinga Kuna haja gani ya kuongeza ubeti mwingine kwenye wimbo wa taifa,mnapenda kujitaftia matatizo yasiyo na kichwa Wala miguu.
Kuwa kondoo ndio unakuwa maarufu.Huyu mgombea urais wenu awe subra. Haina haja ya kujibu vitu ambavyo vitampunguzia umaarufu
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Nilidhani utapinga kwa hoja ya kisheria, kumbe hunaTatizo huyu sumu ya risasi haijaisha kichwani. Ni mropokaji asiyejua kuwa ana mapingufu makubwa katika Tasnia ya sheria. Alituaminisha Serikali kuibana Barrick Gold tumebugi kumbe yeye ndie kilaza. Ubunge wake pia chali mahakamani. Anadhani anajua kila sheria na kiranja wa sheria nchini asichokijua sheria na siasa ni vitu viwili tofauti. Siasa ni mchezo wa kuviziana mno
Uwe na mahusiano mazuri na nani, tume ya uchaguzi ambayo kiongozi wake ni mgombea wa CCM, unaota weweWell, two wrong doesn't make right!
As a candidate aanze kuwa na mahusiano mazuri na kila mtu, aache mipasho.
Wanapenda kufanya vitu bila kufikiria ngoja lumumba watumie propaganda na mnajua akili za watanzania ni ndogo kuaminishwa uongo, mwisho mnaonekana watu wa fujo. Sijaona umuhimu wakuongeza bet kwenye wimbo wataifaAmeshakujibu Lisu
Huyo ni Lissu tu hapo bado jembe letu Robert Amsterdam halijaja na vifungu vyake. This is Chadema
Umpige virungu, sheria gani inasema ukipingwa upige watu virungu. Mmezoea maisha ya lawlessness ndio maana hata maongezi yenu yanaashiria lawlessnessLisu anatafuta media attention kwa gharama yoyote ashikwe apigwe virungu anawinda media attention by Force unfortunately media wameshali note hilo wameamua kuachana naye ili wasiwe part ya wendawazimu wake
Anzeni kutembea na dawa kbsHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Sio swala la kanuni ni common sense ni Kama kutania wimbo wa taifa hivi.Kanuni ya adhabu inatamka ni matatizo gani mtu atayapata kwa kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa? Ni vema tukapata elimu ya Uraia katika hili mkuu
Pale wanapanga kumtoa dikteta na kumleta mkurupukaji. Lissu atulie bado hajawa rais akiguswa kidogo tu atakimbilia tukio la risasi
Mkuu achaga tu waropoke Lissu awatie jando la sheriaAmesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
Issue kama hii angeitolea ufafanuzi msemaji wa chama chenu ingependeza zaidiKuwa kondoo ndio unakuwa maarufu.