Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Lisu achekiii na mujingaaaa ukileta pasi mbaya anakupa pasi nzuri....kama mabingwa wa wanchiii kwenye siasa na uongozi maguu hamuwezi lissu ata kidogo siku zote uwezo huwezii kuushindaa....*****
 
Hata "Mtungi* una *Tundu* hivyo lazima sauti itoke

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Afu eti anataka Uraisi, TL hajapona bado anahitaji mshauri nasihi sio bure
 
Mutungi hakuona hiyo
 
Vitu vingine ni kutumia akili tu unajiongeza, lisu kiburi kitamfikishaga pabaya
 
Yaani kwa akili yako unaona hakuna maendeleo yaliyofanyika? We ni mtu wa ajabu sana. Hivi unafahamu wkt tunapata uhuru kulikuwa na barabara ngapi za rangi??
Hebu nionyeshe hizo barabara za rangi nikapige picha?
 
Mi ndo maana nasema upinzani Tanzania kutawala bado Sana,Sasa kilichofanya waongeze ubeti ni nini hasa,?Mi Sina mzuka na CCM lakini uropokaji na kiherehere Cha upinzani kinaboa na vinawaponza kila siku hawakomi.Hadi wanaonekana kama wahuni tuu.
Nini hasa kinachowafanya wamerekani weusi kupiga goti moja wakati wa wimbo wa taifa wa wamerekani? Ubaguzi kama ilivyo marekeni pia haukubaliki Tanzania.
1596564432137.png
 
Back
Top Bottom