t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Amesharudi Nguli wa sheria Lissu,kabla ya matamko yao ya kukurupuka wajiridhishe kwanza
+1Mwaka huu Uchaguzi unavutia sana...Maana Upinzani kama ni kucheza karata basi wamelamba DUME.
Isingekuwa ubinafsi Act ingeunga juhudi wasimamishe mgombea mmoja wa upinzani,